Hizi ndo sababu 5 kwanini Telegram ni bora mara 100 kuliko WhatsApp

Hizi ndo sababu 5 kwanini Telegram ni bora mara 100 kuliko WhatsApp

Mimi kuna mtu humu alinielekeza nipakue Telegram x nimepakua haina kulipia ila verification code unatumiwa kwa email
Mkuu unatumiwaje kwa email maana mimi nikitaka kuijiunga inaomba namba ya simu badala ya e mail
 
Barikiwa sana, mimi ninayo ages sasa nimebadili device ikaanza nikatalia mpka nilipie
Hiyo hata mimi Yaani inatakiwa usilogout kabisa maana kurudi ni mtihani hata utumie telegram X au unigram utatakiwa ulipe 3K.
Njia salama ni kujiunga kwa device 2 Mfano simu na pc, ukibadili simu au kulogout code watatuma kwenye PC
 
Mimi kuna mtu humu alinielekeza nipakue Telegram x nimepakua haina kulipia ila verification code unatumiwa kwa email
Baada ya kujisajili telegram X, pakua telegram ya kawaida. Weka namba na utatumiwa code kwenye telegram x, weka hizo code kwenye telegram ya kawaida.
Uzuri telegram x haitaji prox au vpn ila kwenye telegram tumia vpn au proxy
 
Telegram unachati na Nani? Labda Malaya tu
Telegram itakupa kile ukipendacho, kama ni malaya, utapata malaya wenzako, kupitia Telegram
  • Utapakua movie na season zote bure
  • Utapakua vitabu na majarida yote bure
  • Utapakua Application zote za simu za kulipia bure
  • Utapakua Software zote za windows kama microsoft word, windows 11, za kuedit video, n.k utakazo
- Utapakua games zote za pc na simu km euro truck, american truck, GTA, PES n.k
  • Firmware za kuflash simu pamoja na tool zake
  • Kuna channel za betting
  • Kuna music (Audio na Video) za dini, rnb, hip hop n.k
  • Kuna channel za VPN kutumia internet bure, kipindi kile cha kutumia internet bure ya vodacom, niliipata telegram
 
Baada ya kujisajili telegram X, pakua telegram ya kawaida. Weka namba na utatumiwa code kwenye telegram x, weka hizo code kwenye telegram ya kawaida.
Uzuri telegram x haitaji prox au vpn ila kwenye telegram tumia vpn au proxy
Asante mkuu, ila Telegram x ina tatizo lolote? Kuna vitu ambavyo vipo kwenye ya kawaida na kwenye x nitavikosa?
 
Mimi siku hizi inanikatalia ku download, kwa kifupi imekuwa slow, sjui nafanyaje
 
Asante mkuu, ila Telegram x ina tatizo lolote? Kuna vitu ambavyo vipo kwenye ya kawaida na kwenye x nitavikosa?
Nimetumia Telegram X na Telegram ila utofauti Telegram X haina option ya kuhifadhi vitu kwenye external storage na pia ukitafuta vitu mfano Video, software n.k haiwezi kukupa machaguo mengi (sijajua sasa, ikabidi niitoe) ila kwenye telegram napata machaguo mengi.
 
Ngoja nitajaribu nipakue upya
 
Telegram hana mpinzani kabisa, japokuwa nchi nyingi zimekuwa zinaipiga vita sana. lakini hawajawahi kusema kitu wala kurudi nyuma. alafu walivyowagumu sijawahi kuona hata matangazo yao kama kampuni zingine zinavyojitangaza kwa nguvu 😂😂😂😂
Telegram wanatusevu sana sisi vijana wa ovyo yaani uliingia pale sehemu ya kuserch kiandika zako tu unachotaka hata movie unapata bila shaka
 
Tunatumia WhatsApp kwa sababu ya mazoea tu ya mtaani, lakini kiufundi, Telegram ipo miaka mia mbele. WhatsApp ni kama usafiri wa umma, lakini Telegram ni mnyama mwingine kabisa.

Mambo yako hivi kifupi doti kwa doti: 👇

1. Cloud Storage: Telegram haijazi Memory ya simu yako hata MB moja; kila kitu kinalindwa kwenye seva zao. Ukibadilisha au kupoteza simu leo, unakuta chat na picha za miaka mitano iliyopita zipo palepale bila kuhitaji dharura ya ku-backup.

2. Kutuma Ma-File ya Makubwa: WhatsApp inaleta pozi ukituma faili kubwa na inakata ubora wa picha. Telegram inakubali kutuma file moja la hadi GB 2 bure! Unaweza kutuma movie nzima ya HD au software kubwa bila kupunguza ubora hata nusu.

3. Ulinzi wa Namba yako: Kwenye WhatsApp, ili uchat na mtu lazima amiliki namba yako ya simu. Telegram unaweza kuficha namba yako isionekane na kiumbe yeyote, kisha ukatumia Username tu kuwasiliana mtaani kwa usalama zaidi.

4. Ma-Group ya Jeshi na Bots: Group la Telegram linachukua hadi watu 200,000 kwa pamoja bila simu yako kukwama. Pia lina "Bots" (wasaidizi wa kidijitali) wanaoweza kukutafutia vitabu feki, kukupakulia nyimbo, au kusimamia magroup kimyakimya.

5. Kufanya Kazi Simu Ikiwa Imezima: Telegram ya kwenye kompyuta inajitegemea 100%. Hata kama simu yako kuu imezima chaji, imepotea, au haina internet, bado unaweza kuendelea kuchat na kufanya kazi kwenye PC yako kama kawaida.

Ukweli ni kwamba Mark Zuckerberg anasubiri Telegram wagundue kitu (kama Channels au kuficha meseji) kisha yeye anakinakili na kukileta WhatsApp kwa mbwembwe. Ukishaijua Telegram, kurudi WhatsApp ni kama kurudi nyuma kiteknolojia!
Wewe ndio unajua leo ?
 
Back
Top Bottom