Mkuu unatumiwaje kwa email maana mimi nikitaka kuijiunga inaomba namba ya simu badala ya e mailMimi kuna mtu humu alinielekeza nipakue Telegram x nimepakua haina kulipia ila verification code unatumiwa kwa email
Dah hapa chini ya jua naamini wajanja wapo wana weza ngoja niendelee kutafitiHaiwezekani
Hata mimi niliingiza namba ya simu ila nikaambiwa imetumwa kwa emailMkuu unatumiwaje kwa email maana mimi nikitaka kuijiunga inaomba namba ya simu badala ya e mail
Mkuu unatumiwaje kwa email maana mimi nikitaka kuijiunga inaomba namba ya simu badala ya e mail
Hiyo hata mimi Yaani inatakiwa usilogout kabisa maana kurudi ni mtihani hata utumie telegram X au unigram utatakiwa ulipe 3K.Barikiwa sana, mimi ninayo ages sasa nimebadili device ikaanza nikatalia mpka nilipie
Baada ya kujisajili telegram X, pakua telegram ya kawaida. Weka namba na utatumiwa code kwenye telegram x, weka hizo code kwenye telegram ya kawaida.Mimi kuna mtu humu alinielekeza nipakue Telegram x nimepakua haina kulipia ila verification code unatumiwa kwa email
Telegram itakupa kile ukipendacho, kama ni malaya, utapata malaya wenzako, kupitia TelegramTelegram unachati na Nani? Labda Malaya tu
Asante mkuu, ila Telegram x ina tatizo lolote? Kuna vitu ambavyo vipo kwenye ya kawaida na kwenye x nitavikosa?Baada ya kujisajili telegram X, pakua telegram ya kawaida. Weka namba na utatumiwa code kwenye telegram x, weka hizo code kwenye telegram ya kawaida.
Uzuri telegram x haitaji prox au vpn ila kwenye telegram tumia vpn au proxy
Mpka uwashe vpnMimi siku hizi inanikatalia ku download, kwa kifupi imekuwa slow, sjui nafanyaje
Ahsante sana mkuuMpka uwashe vpn
Nimetumia Telegram X na Telegram ila utofauti Telegram X haina option ya kuhifadhi vitu kwenye external storage na pia ukitafuta vitu mfano Video, software n.k haiwezi kukupa machaguo mengi (sijajua sasa, ikabidi niitoe) ila kwenye telegram napata machaguo mengi.Asante mkuu, ila Telegram x ina tatizo lolote? Kuna vitu ambavyo vipo kwenye ya kawaida na kwenye x nitavikosa?
Ngoja nitajaribu nipakue upyaNimetumia Telegram X na Telegram ila utofauti Telegram X haina option ya kuhifadhi vitu kwenye external storage na pia ukitafuta vitu mfano Video, software n.k haiwezi kukupa machaguo mengi (sijajua sasa, ikabidi niitoe) ila kwenye telegram napata machaguo mengi.
ππ ππππππππ πTelegram unachati na Nani? Labda Malaya tu
Sawa SawaNik kweli, whatsapp inabebwa na bahati na urahisi wa kuitumia(User friendly)
Telegram wanatusevu sana sisi vijana wa ovyo yaani uliingia pale sehemu ya kuserch kiandika zako tu unachotaka hata movie unapata bila shakaTelegram hana mpinzani kabisa, japokuwa nchi nyingi zimekuwa zinaipiga vita sana. lakini hawajawahi kusema kitu wala kurudi nyuma. alafu walivyowagumu sijawahi kuona hata matangazo yao kama kampuni zingine zinavyojitangaza kwa nguvu ππππ
Ndio ubora wake huoTelegram wanatusevu sana sisi vijana wa ovyo yaani uliingia pale sehemu ya kuserch kiandika zako tu unachotaka hata movie unapata bila shaka
Wewe ndio unajua leo ?Tunatumia WhatsApp kwa sababu ya mazoea tu ya mtaani, lakini kiufundi, Telegram ipo miaka mia mbele. WhatsApp ni kama usafiri wa umma, lakini Telegram ni mnyama mwingine kabisa.
Mambo yako hivi kifupi doti kwa doti: π
1. Cloud Storage: Telegram haijazi Memory ya simu yako hata MB moja; kila kitu kinalindwa kwenye seva zao. Ukibadilisha au kupoteza simu leo, unakuta chat na picha za miaka mitano iliyopita zipo palepale bila kuhitaji dharura ya ku-backup.
2. Kutuma Ma-File ya Makubwa: WhatsApp inaleta pozi ukituma faili kubwa na inakata ubora wa picha. Telegram inakubali kutuma file moja la hadi GB 2 bure! Unaweza kutuma movie nzima ya HD au software kubwa bila kupunguza ubora hata nusu.
3. Ulinzi wa Namba yako: Kwenye WhatsApp, ili uchat na mtu lazima amiliki namba yako ya simu. Telegram unaweza kuficha namba yako isionekane na kiumbe yeyote, kisha ukatumia Username tu kuwasiliana mtaani kwa usalama zaidi.
4. Ma-Group ya Jeshi na Bots: Group la Telegram linachukua hadi watu 200,000 kwa pamoja bila simu yako kukwama. Pia lina "Bots" (wasaidizi wa kidijitali) wanaoweza kukutafutia vitabu feki, kukupakulia nyimbo, au kusimamia magroup kimyakimya.
5. Kufanya Kazi Simu Ikiwa Imezima: Telegram ya kwenye kompyuta inajitegemea 100%. Hata kama simu yako kuu imezima chaji, imepotea, au haina internet, bado unaweza kuendelea kuchat na kufanya kazi kwenye PC yako kama kawaida.
Ukweli ni kwamba Mark Zuckerberg anasubiri Telegram wagundue kitu (kama Channels au kuficha meseji) kisha yeye anakinakili na kukileta WhatsApp kwa mbwembwe. Ukishaijua Telegram, kurudi WhatsApp ni kama kurudi nyuma kiteknolojia!