Hizi ndo silaha nne za CCM za kuitawala Tanzania

Knock life

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
2,465
Reaction score
7,764
Simba na Yanga - hii inatumika kupumbaza Watanzania

Taasisi za dini Kama Mwamposa , Shekh kishiki , n.k

Bodaboda - hii inajulikana kazi yake ni kuua

Viloba na Sungura - hii inajulikana Kazi yake ni kuua uwezo wa Vijana kufikiri vizuri.
 
Hizo sio za kutawala bali kuwazubaisha na kuwapotezea focus
 
Simba na Yanga - hii inatumika kupumbaza Watanzania

Taasisi za dini Kama Mwamposa , Shekh kishiki , n.k

Bodaboda - hii inajulikana kazi yake ni kuua

Viloba na Sungura - hii inajulikana Kazi yake ni kuua uwezo wa Vijana kufikiri vizuri.
Summary ya vyote ni UJINGA

No reform No Election
 
Umesahau kutia watu umasikini Ili waendelee kututawala kwa kutupa kilo za unga , kanga ,kofia , tisheti na buku saba per day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…