Hizi nguo kama za EFF ya Malema Afrika Kusini ndiyo CHADEMA wanavaa siku hizi?

Hizi nguo kama za EFF ya Malema Afrika Kusini ndiyo CHADEMA wanavaa siku hizi?

Hivi unategemea chama kinaongozwa na TONDO ambae amaejipachika kuwa mwenyekiti wa maisha unategemea nini ?
 
Naona sasa hivi kipupwe hiki magwanda hawayataki joto sasa vitisheti na vibebishii beleti kichwani for the time being.

Nafikiri ni rangi yao tu magwanda makao na nyekundu na nyeupe

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Shikamoo babu. Unajua wewe mzee mimi nakuheshimu sana sema tu huwa unapenda mambo ya ukijana jana ndio maana hata mimi huwa nakuletea masihara. Anyway hebu jibu maswali niliyokuuliza halafu nakuongezea na swali la nyongeza. Mwaka gani uliugua ukichaa?
Marahaba, lakini sina muda wa kupoteza. Umenisikia?
 
Anataka awe relevant wakati kishapitwa na wakati
Nimeona clip ya Mbowe anasema chanjo iwe lazima ..nimeshangazwa na mavazi..

Ni mavazi rasmi ya Chadema?

Mbona kama yanafanana na Eff ya Malema?...

Yanaashiria nini??..

Wenye clips au picha naomba muweke..
 
Nilivoona lilevazi nkajua kifuatacho nikumpanda mama kichwani kma anavofanya malema
 
Nimeona clip ya Mbowe anasema chanjo iwe lazima ..nimeshangazwa na mavazi..

Ni mavazi rasmi ya Chadema?

Mbona kama yanafanana na Eff ya Malema?...

Yanaashiria nini??..

Wenye clips au picha naomba muweke..
EFF sio main opposition ZA.
Ready to be corrected.

Japo ni nje ya mada.
 
Mwendawazimu mwingine huyu, mnavyokua majizi pale kwenu mmewadhulumu Startv, Mmewadhulumu Efm na mlimdhulumu Shigongo, ulidhani basi kila MTU ana hulka ya wizi kama nyie
Kamanda acha jazba
IMG-20210720-WA0067.jpeg
 
Back
Top Bottom