4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Kabla ya kujadili vazi la chadema, maana vazi ni vazi tu, tunamtaka uyo mtu wenu atwambie tangu lini tz imekua ya ukoo wake, kwamba Sasa anaweza amua nani anapashwa kaa ndani ya nchi au kuamia nchi nyingine , kisa tozo mbili katika bidhaa moja,Nimeona clip ya Mbowe anasema chanjo iwe lazima nimeshangazwa na mavazi.
Ni mavazi rasmi ya Chadema?
Mbona kama yanafanana na Eff ya Malema?
Yanaashiria nini?
Wenye clips au picha naomba muweke.