Hizi nguo kama za EFF ya Malema Afrika Kusini ndiyo CHADEMA wanavaa siku hizi?

Kwani Mbowe mwenyewe anasemaje?
 
Hivi unategemea chama kinaongozwa na TONDO ambae amaejipachika kuwa mwenyekiti wa maisha unategemea nini ?
 
Naona sasa hivi kipupwe hiki magwanda hawayataki joto sasa vitisheti na vibebishii beleti kichwani for the time being.

Nafikiri ni rangi yao tu magwanda makao na nyekundu na nyeupe

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Marahaba, lakini sina muda wa kupoteza. Umenisikia?
 
Anataka awe relevant wakati kishapitwa na wakati
Nimeona clip ya Mbowe anasema chanjo iwe lazima ..nimeshangazwa na mavazi..

Ni mavazi rasmi ya Chadema?

Mbona kama yanafanana na Eff ya Malema?...

Yanaashiria nini??..

Wenye clips au picha naomba muweke..
 
Nilivoona lilevazi nkajua kifuatacho nikumpanda mama kichwani kma anavofanya malema
 
Nimeona clip ya Mbowe anasema chanjo iwe lazima ..nimeshangazwa na mavazi..

Ni mavazi rasmi ya Chadema?

Mbona kama yanafanana na Eff ya Malema?...

Yanaashiria nini??..

Wenye clips au picha naomba muweke..
EFF sio main opposition ZA.
Ready to be corrected.

Japo ni nje ya mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…