4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Kabla ya kujadili vazi la chadema, maana vazi ni vazi tu, tunamtaka uyo mtu wenu atwambie tangu lini tz imekua ya ukoo wake, kwamba Sasa anaweza amua nani anapashwa kaa ndani ya nchi au kuamia nchi nyingine , kisa tozo mbili katika bidhaa moja,Nimeona clip ya Mbowe anasema chanjo iwe lazima nimeshangazwa na mavazi.
Ni mavazi rasmi ya Chadema?
Mbona kama yanafanana na Eff ya Malema?
Yanaashiria nini?
Wenye clips au picha naomba muweke.
Anachanja huko ufipaniAfya yangu halafu ulazimishe chanjo? Nani kamlipa kumtafutia soko la chanjo kwa lazima hiyo.
Nyie Mbowe naona mnamuogopa saana maana hayo mawe mnayorusha ingekuwa ndio live sijui ingekuaje ...Mbowe naye anatuburuza bwana! Yameiga kwa Malema!!
Itakuwa na file lake kule Dodoma hosp flaniMagonjwa mtambuka. Kwa nini ulijiita magonjwa mtambuka? Ulishawahi kuugua ugonjwa wowote wa akili? Je jina la magonjwa mtambuka ulipewa na wazazi wako au ulilipata baada ya kuugua ugonjwa wa akili?
Teh teh vp yule jamaa wa iringa nini!Biashara. Kuna mtu huko ufipa keshakula tenda ya kushona mavazi mapya.
Boss upo!Teh teh vp yule jamaa wa iringa nini!
Ova
Nipo ila sahvi sina usemiBoss upo!
Huyo huyo. Ova.Teh teh vp yule jamaa wa iringa nini!
Ova
Nimeona clip ya Mbowe anasema chanjo iwe lazima nimeshangazwa na mavazi.
Ni mavazi rasmi ya Chadema?
Mbona kama yanafanana na Eff ya Malema?
Yanaashiria nini?
Wenye clips au picha naomba muweke
Aliyeanzisha kuvaa magwanda alikuwa Dr. Slaa, kutokana na harakati zake na safari ndefu za mikutano ya kisiasa, nadhani Mbowe hataki tena kuwa na kumbukumbu yake.Nimeona clip ya Mbowe anasema chanjo iwe lazima nimeshangazwa na mavazi.
Ni mavazi rasmi ya Chadema?
Mbona kama yanafanana na Eff ya Malema?
Yanaashiria nini?
Wenye clips au picha naomba muweke.
Akili ya Mbowe na viongozi wengi wa CHADEMA ni kama akili za wanamuziki wa Bongofleva! Hawana mipango ya muda mrefu wao ni kufuata kinacho - hit kwa wakati huo. Mavazi na kofia wameiga kwa Bob wine wanadhani itasaidia kuwa- boost! Wajinga sana hawa na Watanzania wanawaangalia tu!Nimeona clip ya Mbowe anasema chanjo iwe lazima nimeshangazwa na mavazi.
Ni mavazi rasmi ya Chadema?
Mbona kama yanafanana na Eff ya Malema?
Yanaashiria nini?
Wenye clips au picha naomba muweke.