Hizi ni aibu 6 bora, ongeza za kwako

mgeni kasahau simu alafu unaipekua inbox yake upo katikati unasoma text zake ghafla calls zinaingia na yeye anarudi kuifata simu yake anakuta inalia akipokea ataongea wee ikikata sehemu ya call inaondoka akiangalia kilichopo infront ya screen anakuta ulikuwa katikati ya msg ukisoma.

ni aibu sana.
 
Unachekeshaa aiseee
 
Dah...mbona hakuna aibu ya maana hapo? Zote hizo huhitaji zaidi ya sekunde 4 kupata sababu ya kijitetea na mkawa poa tu[emoji13] [emoji13]
 
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] una 7m za faini yq uchochezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…