alishindaKuhama chama na kujiunga na chama kingine kisha ukapewa na chama ulichohamia uwe mgombea lakini ukashindwa, { refers to Ngoyayi, Lembeli } ni aibu sana bora ushindwe katika wima ulele.
ha ha ha......, kwel we ni great thinkerKupora ushindi wa maalim Seif Sharif Hamad halafu baada ya kurudiwa kwa uchaguzi bila ushiriki wa upinzani unajisifu kuwa umeshinda ushindi wa kishindo kwa zaidi ya 92%, na umeshinda madiwani na wawakilishi wote huku ukiwa macho makavu kabisa na watu wanakuangalia
ha ha ha.....kuwa waziri wa elimu wa jamhuri ya muungano halafu we mwenyew huelewi huo muungano ni wa nchi zipi
HALAFU WAENDA WEWE FUTI 6 CHINI YA ARDHI...TENA URAMBO
Teteteteteee kama ulikuwepo waandishi wa habariNi pale unapowapanga watu wa kukuuliza maswali uliyo na majibu nayo,ghafla anatokea asiyepangwa anauliza swali usilolitegemea na unaanza kujichekesha..