Hizi ni aibu 6 bora, ongeza za kwako

Hizi ni aibu 6 bora, ongeza za kwako

Kuhama chama na kujiunga na chama kingine kisha ukapewa na chama ulichohamia uwe mgombea lakini ukashindwa, { refers to Ngoyayi, Lembeli } ni aibu sana bora ushindwe katika wima ulele.
alishinda
 
Umeenda ukweni kwenye sherehe baada ya chakula tumbo likakuvuluga ..ukaenda chooni akaharisha mbaya .....unashika dumu LA maji...!!? [emoji15] [emoji15] maji hakuna...mlangoni MTU anabisha hodi kwa fujo naye anataka jisaidia unachungulia nyufa za mlango haaaa[emoji15] [emoji15] kumbe mama mkwe...iyo aibu yake [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kusema wewe tajiri...afu pesa za maafa ukatoa [emoji102] [emoji102] kodo
 
Kupora ushindi wa maalim Seif Sharif Hamad halafu baada ya kurudiwa kwa uchaguzi bila ushiriki wa upinzani unajisifu kuwa umeshinda ushindi wa kishindo kwa zaidi ya 92%, na umeshinda madiwani na wawakilishi wote huku ukiwa macho makavu kabisa na watu wanakuangalia
ha ha ha......, kwel we ni great thinker
 
Ni pale unapowapanga watu wa kukuuliza maswali uliyo na majibu nayo,ghafla anatokea asiyepangwa anauliza swali usilolitegemea na unaanza kujichekesha..
 
Ni pale unapowapanga watu wa kukuuliza maswali uliyo na majibu nayo,ghafla anatokea asiyepangwa anauliza swali usilolitegemea na unaanza kujichekesha..
Teteteteteee kama ulikuwepo waandishi wa habari
 
Mpenzi wako mpya hata mwezi bado.....kukwambia unanuka mdomo.......
 
Back
Top Bottom