Hizi ni dalili za HIV?

Hizi ni dalili za HIV?

ishu iko hivii kama mwaka jana July 03 nlipita na dada mmoja nafikir ana mtoto mmoja sema nlipiga bao moja tyu kama mchezo wa dakika 2 ivii na nlimuandaa freshii tu semaa baada ya kuamka aasubuh nkahisi rohoo inanisutaa kichizii yaan kama kuna kitu nahisii ivii then kuna siku mtu wa karibu sanaa aliniona nmesimaama na huyo mdada akanitonya kwamba mdada ana umeme na anatumia dawa huu mwaka wa 3 then baada ya week 5 tokaa tufanye nkapima nkawa -ve then nkapima tenaa october nkawa -ve sema sasa juzi jumapili nkaoga kwenye bafu izi za public sunajua tenaa bhanaa ndo jumanne yake naanza kuhisi vitu kaama vijipele kama vya chunusi sema vinene kidogo ukivigusa vinawashaa kichizi ila havitoi maji na mpaka sasa naandika huu uzi naona vinajitokeza sehem nyingine za mwili afu vinene ivii vinawashaa ukivigusa ndo nkawa na refer kwamba kuwa na vipele inaeza ikawa pia dalili ya Ngoma au ni Fangas tyuu???

Natumai sasa hapo nimeelewekaa
Nenda hospitali ndugu yangu ,usiteseke

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Pole Mkuu,chukua hatua ya kwenda hospitali kupima ili usiwe na hofu omba ufanye vipimo vyote muhimu ongea na daktari wako wazi kabisa kuhusu unavyojisikia,unachoona kwa macho kama hivyo vipele na kujikuna na hata uchovu usioisha,madaktari wana uzoefu mkubwa na ushauri mzuri sana,hutajuta,endelea kumuomba Mungu sana ukifanya toba na kuomba amani ili upokee kila kilicho mbele yako kwa uvumilivu,Mungu wetu anatupenda Sana na hakika utapokea majibu yako kwa amani yawe positive au negative maana maisha ni lazima yaendelee,Mungu akusaidie sana na akupe amani,utakuwa sawa tu ,ubarikiwe.
Aombe toba kwa yapi hapo? Kupata ukimwi ni lazima iwe dhambi au kipi ulimaanisha Mkuu?!!!
 
Aombe toba kwa yapi hapo? Kupata ukimwi ni lazima iwe dhambi au kipi ulimaanisha Mkuu?!!!
Toba si kwa ukimwi tu ni kwa ajili ya amani yake na maisha yake na kupokea kila jambo kwa uvumlivu ,rahisi au gumu.

Sio dhambi kupata ukimwi maana watu hupata kwa njia tofauti .

Asante mkuu

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Hizo ni skin rashes tu tafuta dawa utapona HIV haianzi kwenye ngozi, watu watakupa pressure za bure humu, kapime magonjwa yako mengi tu
 
ishu iko hivii kama mwaka jana July 03 nlipita na dada mmoja nafikir ana mtoto mmoja sema nlipiga bao moja tyu kama mchezo wa dakika 2 ivii na nlimuandaa freshii tu semaa baada ya kuamka aasubuh nkahisi rohoo inanisutaa kichizii yaan kama kuna kitu nahisii ivii then kuna siku mtu wa karibu sanaa aliniona nmesimaama na huyo mdada akanitonya kwamba mdada ana umeme na anatumia dawa huu mwaka wa 3 then baada ya week 5 tokaa tufanye nkapima nkawa -ve then nkapima tenaa october nkawa -ve sema sasa juzi jumapili nkaoga kwenye bafu izi za public sunajua tenaa bhanaa ndo jumanne yake naanza kuhisi vitu kaama vijipele kama vya chunusi sema vinene kidogo ukivigusa vinawashaa kichizi ila havitoi maji na mpaka sasa naandika huu uzi naona vinajitokeza sehem nyingine za mwili afu vinene ivii vinawashaa ukivigusa ndo nkawa na refer kwamba kuwa na vipele inaeza ikawa pia dalili ya Ngoma au ni Fangas tyuu???

Natumai sasa hapo nimeelewekaa
OK lakini bado hujasema kama ulitumia condom au hapana.

Lakini pamoja na hayo hakuna dalili ya ugonjwa wa ukimwi kuwa vipele vikubwa na vinawasha kisa tu amekutana na HIV positive miezi 9 iliyopita.

Hata kama kama ungepata HIV1 Type C bado siyo sleep hiyo kuanza kuonyesha dalili.

La msingi ni kutuliza akili yako na pili waone Madaktari wa ngozi wakutibu hilo tatizo la hizo rashes na tatu endelea na huduma kwa vituko vya Upimaji ili ujengewe uwezo wa kufahamu HIV na utaratibu wa Upimaji na tafsiri zake.

Usije ukawa unajipima mwenyewe!!!!
 
eti wanajamii vipi dalili za HIV zinaweza kuwa kutokwa na vipele vinavyowashaa saana miguuni na mikononi au vipi yaani zile dalili za mwanzo (ARS)
kinachokusumbua ni woga ukiwa na mawazo yakuhisi kupata ukimwi kinga inashuka kwamana hiyo gonjw lolote linaweza kukupata na ukiendelea tena kuhisi halo itazidi kuwa mbaya cha kufanya nenda kapatiw dawa hospital utapona pendelea kufikilia Sana mambo ya kufanya maendeleo cheza na ubongo wako tu jambo dogo litaondoka
 
kinachokusumbua ni woga ukiwa na mawazo yakuhisi kupata ukimwi kinga inashuka kwamana hiyo gonjw lolote linaweza kukupata na ukiendelea tena kuhisi halo itazidi kuwa mbaya cha kufanya nenda kapatiw dawa hospital utapona pendelea kufikilia Sana mambo ya kufanya maendeleo cheza na ubongo wako tu jambo dogo litaondok usifuate mada zakina mzizimkavu hazina ukweli wowote
 
Toba si kwa ukimwi tu ni kwa ajili ya amani yake na maisha yake na kupokea kila jambo kwa uvumlivu ,rahisi au gumu.

Sio dhambi kupata ukimwi maana watu hupata kwa njia tofauti .

Asante mkuu

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Okay! Nilikuwa sijakuelewa, kumbe kiswahili ndo tatizo. Toba ni msamaha, si baraka wala neema, wala rehema. Toba ni baada ya kufanya kosa aka dhambi. Tumwambie aombe neema za Mungu, baraka haziombwi hutafutwa. Aksante pia.
 
Back
Top Bottom