BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,989
- 32,649
Nenda hospitali ndugu yangu ,usitesekeishu iko hivii kama mwaka jana July 03 nlipita na dada mmoja nafikir ana mtoto mmoja sema nlipiga bao moja tyu kama mchezo wa dakika 2 ivii na nlimuandaa freshii tu semaa baada ya kuamka aasubuh nkahisi rohoo inanisutaa kichizii yaan kama kuna kitu nahisii ivii then kuna siku mtu wa karibu sanaa aliniona nmesimaama na huyo mdada akanitonya kwamba mdada ana umeme na anatumia dawa huu mwaka wa 3 then baada ya week 5 tokaa tufanye nkapima nkawa -ve then nkapima tenaa october nkawa -ve sema sasa juzi jumapili nkaoga kwenye bafu izi za public sunajua tenaa bhanaa ndo jumanne yake naanza kuhisi vitu kaama vijipele kama vya chunusi sema vinene kidogo ukivigusa vinawashaa kichizi ila havitoi maji na mpaka sasa naandika huu uzi naona vinajitokeza sehem nyingine za mwili afu vinene ivii vinawashaa ukivigusa ndo nkawa na refer kwamba kuwa na vipele inaeza ikawa pia dalili ya Ngoma au ni Fangas tyuu???
Natumai sasa hapo nimeelewekaa
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app