Hizi ni dalili za HIV?

Nenda hospitali ndugu yangu ,usiteseke

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Aombe toba kwa yapi hapo? Kupata ukimwi ni lazima iwe dhambi au kipi ulimaanisha Mkuu?!!!
 
Aombe toba kwa yapi hapo? Kupata ukimwi ni lazima iwe dhambi au kipi ulimaanisha Mkuu?!!!
Toba si kwa ukimwi tu ni kwa ajili ya amani yake na maisha yake na kupokea kila jambo kwa uvumlivu ,rahisi au gumu.

Sio dhambi kupata ukimwi maana watu hupata kwa njia tofauti .

Asante mkuu

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Hizo ni skin rashes tu tafuta dawa utapona HIV haianzi kwenye ngozi, watu watakupa pressure za bure humu, kapime magonjwa yako mengi tu
 
OK lakini bado hujasema kama ulitumia condom au hapana.

Lakini pamoja na hayo hakuna dalili ya ugonjwa wa ukimwi kuwa vipele vikubwa na vinawasha kisa tu amekutana na HIV positive miezi 9 iliyopita.

Hata kama kama ungepata HIV1 Type C bado siyo sleep hiyo kuanza kuonyesha dalili.

La msingi ni kutuliza akili yako na pili waone Madaktari wa ngozi wakutibu hilo tatizo la hizo rashes na tatu endelea na huduma kwa vituko vya Upimaji ili ujengewe uwezo wa kufahamu HIV na utaratibu wa Upimaji na tafsiri zake.

Usije ukawa unajipima mwenyewe!!!!
 
eti wanajamii vipi dalili za HIV zinaweza kuwa kutokwa na vipele vinavyowashaa saana miguuni na mikononi au vipi yaani zile dalili za mwanzo (ARS)
kinachokusumbua ni woga ukiwa na mawazo yakuhisi kupata ukimwi kinga inashuka kwamana hiyo gonjw lolote linaweza kukupata na ukiendelea tena kuhisi halo itazidi kuwa mbaya cha kufanya nenda kapatiw dawa hospital utapona pendelea kufikilia Sana mambo ya kufanya maendeleo cheza na ubongo wako tu jambo dogo litaondoka
 
Toba si kwa ukimwi tu ni kwa ajili ya amani yake na maisha yake na kupokea kila jambo kwa uvumlivu ,rahisi au gumu.

Sio dhambi kupata ukimwi maana watu hupata kwa njia tofauti .

Asante mkuu

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Okay! Nilikuwa sijakuelewa, kumbe kiswahili ndo tatizo. Toba ni msamaha, si baraka wala neema, wala rehema. Toba ni baada ya kufanya kosa aka dhambi. Tumwambie aombe neema za Mungu, baraka haziombwi hutafutwa. Aksante pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…