Hizi ni dalili za mtoto wa kiume?

Hizi ni dalili za mtoto wa kiume?

Aadilu

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
645
Reaction score
463
Namshukuru mola wa viumbe wote baada ya kuhangaika sana mke wangu sasa ni mjamzito. Tangu wiki ya kwanza ya ujauzito wake ambao sasa una wiki takribani tisa amekuwa na tabia ya kuwa na mimi karibu sana. kila wakati anataka tukae pamoja. Hataki nitoke, hataki niwatembelee jamaa na marafiki. Nikitoka kazini tu yeye karibu yangu na macho yetu kwenye TV. Kuna mtu baada ya kumhadithia haya akaniambia mkeo atajifungua mtoto wa kiume. Hivi hii kauli ina ukweli wowote wadau? Mwenye ujuzi jamani anijuze.
 
Kua makini kibodii (mimba) ikifika 4 moons , hatotaka na kazini uende! Akitaka ushinde hom!
Ili akitaka kachumbari umkatie!
Katamani limao , ukwaju , ubuyu , udongo , with related matter! ukimbie gengeni ukamletee
 
Mkuu kama ulikuwepo vile. Dalili za kutumwa tumwa naziona sana tu.
 
Back
Top Bottom