Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Mi napita na chorus ya mwanangu hapa kama inspiration
Hili dude kipindi naishi geto nilikuwa naweza kuisikiliza siku nzimaIlo Street Hustlers la Cannibal ni noma sana.
Xplastaz wimbo ni Nini Dhambi
Canibbal wimbo ni Street Hustlers
Hizi ni dedications zangu 2 kwa makamanda wapambanaji.
Je, wewe zako ni zipi?
Ushanta mbona umeiacha"chalii yangu unalala,utatolewa kafala"Xplastaz wimbo ni Nini Dhambi
Canibbal wimbo ni Street Hustlers
Hizi ni dedications zangu 2 kwa makamanda wapambanaji.
Je, wewe zako ni zipi?
Mwanangu unanirudisha mbali sana daah. Verse ya mwisho inachekesha sana
Huu ni Muziki ulionijenga tangu udogo wanguMwanangu unanirudisha mbali sana daah
Hili goma nikilisikia nakumbuka nlivyokuwa beach
Ukiimaliza hii msikilize Abbas na Kiroboto kwenye chorus. Majani apewe heshima yake kwenye beat
Sanaa katika ubora wake. Ama kweli muda haurudi nyumaUkiimaliza hii msikilize Abbas na Kiroboto kwenye chorus. Majani apewe heshima yake kwenye beat
Xplastaz wimbo ni Nini Dhambi
Canibbal wimbo ni Street Hustlers
Hizi ni dedications zangu 2 kwa makamanda wapambanaji.
Je, wewe zako ni zipi?
Ubwa alitulia sana kwenye huu wimbo.