Hizi ni dedications zangu kwa Street Hustlers

Hizi ni dedications zangu kwa Street Hustlers

huu uzi wa malegendary, wabishi, mabaharia.... dah kitambo sana... mengi ngoja tukae kimya..all in all God is good.
 

Xplastaz wimbo ni Nini Dhambi


Canibbal wimbo ni Street Hustlers

Hizi ni dedications zangu 2 kwa makamanda wapambanaji.
Je, wewe zako ni zipi?

Ongeza

1. Ushanta - Xplastaz
2. Hakuna anayetudai - Nash ft Chaba
3. Mtanganjia - One the incredible
 
masimela ~ LWP.
Tunasonga ~ Hashim dogo na kikosi.
Kula kona ~ Manzese crew.
Sina demu ~ B-boy.
Kindumbwendumbwe ~ FDC.
 
masimela ~ LWP.
Tunasonga ~ Hashim dogo na kikosi.
Kula kona ~ Manzese crew.
Sina demu ~ B-boy.
Kindumbwendumbwe ~ FDC.
Kitu kula kona na mke wa mtu ni sumu by majitu [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

USSR
 
🎶🎶mlete mdhungu🎶🎶
Sijui kaimba nani ila nahis unaujua
 
Back
Top Bottom