Bongo senior
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 757
- 1,526
Sasa hiyo itakua ni kesi nyingine. Yaan unakaa na mtu hata ukiumwa hajali huyu ni wa kufukuza muda huo huo.Vipi kama ndo hakujali kabisa
Ndoa Inaendelea kupoteza maana kwa speed kubwa, sioni lolote la maana zaΓdi ya kujenga next generation.Mawazo ya Vijana hayo
Hopefully ukifika 40 unaweza kuwa na mtazamo tofauti juu ya Ndoa.
Naijua sana ngoja ninyamaze tu nitakuambia siku nyingine.Au unaijua hiyo ππππ
Hakuna kuishi single, unaidhulumu nafsi.Nimekua mhanga wa kupigwa matukio imefika muda naona ni kheri kukaa peke yangu. Ila usingo sio kitu kizuri kabisa.
Hakuna tangazo hapo haunipati ng'ooππππππHili tangazo ngoja nilifanyie kaz, nakuja pmπ
fafanua hapaUtajiiri utausikia tu
ππHunijui wewe sasa subiriHakuna tangazo hapo haunipati ng'ooππππππ
Sawa rafiki.Hakuna kuishi single, unaidhulumu nafsi.
Mzee wa nyuzi za ...... πππHunijui wewe sasa subiri
Naomba uniache niko bize namuhudumia mume wangu Mbaga Jr
aka kula kimasihala.Ndondo kivip mkuu
Bichwa Komwe yuko likizo isiyo na malipo.Mshangazi BICHWA KOMWE -