Bongo senior
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 757
- 1,526
Unaonekana una asili ya uchafu ww.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hiyo itakua ni kesi nyingine. Yaan unakaa na mtu hata ukiumwa hajali huyu ni wa kufukuza muda huo huo.Vipi kama ndo hakujali kabisa
Ndoa Inaendelea kupoteza maana kwa speed kubwa, sioni lolote la maana zaídi ya kujenga next generation.Mawazo ya Vijana hayo
Hopefully ukifika 40 unaweza kuwa na mtazamo tofauti juu ya Ndoa.
Naijua sana ngoja ninyamaze tu nitakuambia siku nyingine.Au unaijua hiyo 😂😂😂😂
Hakuna kuishi single, unaidhulumu nafsi.Nimekua mhanga wa kupigwa matukio imefika muda naona ni kheri kukaa peke yangu. Ila usingo sio kitu kizuri kabisa.
Hakuna tangazo hapo haunipati ng'oo😂😂😂😂😂😂Hili tangazo ngoja nilifanyie kaz, nakuja pm😂
fafanua hapaUtajiiri utausikia tu
😂😂Hunijui wewe sasa subiriHakuna tangazo hapo haunipati ng'oo😂😂😂😂😂😂
Sawa rafiki.Hakuna kuishi single, unaidhulumu nafsi.
Mzee wa nyuzi za ...... 😂😂😂Hunijui wewe sasa subiri
Naomba uniache niko bize namuhudumia mume wangu Mbaga Jr
aka kula kimasihala.Ndondo kivip mkuu
Bichwa Komwe yuko likizo isiyo na malipo.Mshangazi BICHWA KOMWE -