The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Ukikua au ukipata changamoto utajua kuwa gharama zote hizi shida ni huyo anayeitwa Mke! ......Sio Kila mke anakuombea mazuri.Mpe Mke Hii 120,00 Uone Utakavyo Ombewa Na Kupata Zaidi Na Zaidi.
Pia mke hawezi kukupa penzi tamu kama la mchepuko.Mchepuko hawezi kukuombea baraka
Hebu weka na gharama za mke tulinganisheGHARAMA ZA KUTOKA NA MCHEPUKO
1.Usafiri 10,000
2.Chumba Lodge 30,000
3.Chakula + Vinywaji 30,000
4.Asante Kwa Kuja 50,000
Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii 120,00 Uone Utakavyo Ombewa Na Kupata Zaidi Na Zaidi.
Sasa mchepuko asipokupa penzi tamu kesho tena pesa yako ataipatajePia mke hawezi kukupa penzi tamu kama la mchepuko.
Baadae utuletee gharama ambayo serikali inapata kwa kuwa na wananchi wengi wajinga wajinga.GHARAMA ZA KUTOKA NA MCHEPUKO
1.Usafiri 10,000
2.Chumba Lodge 30,000
3.Chakula + Vinywaji 30,000
4.Asante Kwa Kuja 50,000
Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii 120,00 Uone Utakavyo Ombewa Na Kupata Zaidi Na Zaidi.
Bila uwepo wa wajinga hatuwezi pata viongoziBaadae utuletee gharama ambayo serikali inapata kwa kuwa na wananchi wengi wajinga wajinga.
Wajinga hawapaswi kuwa na fursa ya kuchagua kiongozi.Bila uwepo wa wajinga hatuwezi pata viongozi
Ndio maana nimemuambia aweke na gharama za mke kuanzia mahari, chakula, mavazi, nyumba, usafiri, kutibu wakwe, kusomesha ndugu zake, bado ununiwe, unyimwe unyumba na ukicheza uuawe!All in all, kufuga ng’ombe ni gharama kuliko kununua maziwa
Ila JF!Ndio maana nimemuambia aweke na gharama za mke kuanzia mahari, chakula, mavazi, nyumba, usafiri, kutibu wakwe, kusomesha ndugu zake, bado ununiwe, unyimwe unyumba na ukicheza uuawe!
Kwa nini basi mke asiwe ananipa penzi tamu lisilo expire ili aipate yeye hela kila sikuSasa mchepuko asipokupa penzi tamu kesho tena pesa yako ataipataje
Ana uhakika wa kumilikiKwa nini basi mke asiwe ananipa penzi tamu lisilo expire ili aipate yeye hela kila siku