Hizi ni jezi tano zinazovaliwa sana Tanzania

Yaani unataka kusema hizi jezi ndiyo zinavaliwa zaidi nchini kuliko hata zile za Yanga na simba!! Ok. Naheshimu utafiti wako.
 
Hujaweka Ajax away
 
Chai ,bila ajax , Arsenal na Chelsea uzi huu ni batili umepatia kwenye Dortmund na Man U tu
 
Kuna hii jezi ya Chelsea asee haupiti sehemu bila kuiona imevaliwa.
 
Ndio nimesema ajax hass uzi wao ule bob marley unakimbiza top ten haikosi

Ila arsenal haivaliwi sana
Chai ,bila ajax , Arsenal na Chelsea uzi huu ni batili umepatia kwenye Dortmund na Man U tu
 
Wolves wanatisha bonge la Uzi ila Umesahau Uzi wa Kaizer jamaa ana soko sana tz sema anaachia taratibu nyuzi zake na Orlando ule mweusi nao ni uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…