Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Arsenal ayupo,Ajax je ni ile nembo yao ya "Zigo"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani unataka kusema hizi jezi ndiyo zinavaliwa zaidi nchini kuliko hata zile za Yanga na simba!! Ok. Naheshimu utafiti wako.Haya wale wazee wa outfits ukiitaka mzigo usikae dukani
Watu wengi wanavaa jezi km mtoko na jezi zinazotamba sana kwa sasa ni
1.Barcelona (ule uzi rangi ya gold na poster ya spotfy ni hatari na unakaa mwilini)
2. Manchester united (uzi mzito upo km sweta ivi na chini umekatwa kwa style)
3 Wolves hii timu ya Epl uingereza,uzi wake ni guru Tanzania ( huu uzi ni wa njano ile ya kuvutia na unashika mwili km sweta) timu haina mafanikio ila uzi wake haushikiki sokoni
4.PSG ule uzi mweupe unavaliwa sana bongo ni uzi mkali
5. Borussia Dortimund hawa kwenye jezi miaka zaidi ya saba wanakimbiza Tanzania
Furusa kwenu wapambanaji na wajasiriamali
Mie mwenyewe ninayo.Usisahau jezi No. 23 ya LeBro James kwa upande wa kikapu! unaweza usinielewe!
Hujaweka Ajax awayHaya wale wazee wa outfits ukiitaka mzigo usikae dukani.
Watu wengi wanavaa jezi kama mtoko na jezi zinazotamba sana kwa sasa ni;
1. Barcelona (ule uzi rangi ya gold na poster ya spotfy ni hatari na unakaa mwilini)
2. Manchester united (uzi mzito upo km sweta ivi na chini umekatwa kwa style)
3. Wolves hii timu ya Epl uingereza,uzi wake ni guru Tanzania (huu uzi ni wa njano ile ya kuvutia na unashika mwili km sweta) timu haina mafanikio ila uzi wake haushikiki sokoni.
4. PSG ule uzi mweupe unavaliwa sana bongo ni uzi mkali.
5. Borussia Dortimund hawa kwenye jezi miaka zaidi ya saba wanakimbiza Tanzania.
Fursa kwenu wapambanaji na wajasiriamali.
Huu uzi unakumbiza sana bongo.Hujaweka Ajax awayView attachment 2582457
Kuna hii jezi ya Chelsea asee haupiti sehemu bila kuiona imevaliwa.
View attachment 2582523
Chai ,bila ajax , Arsenal na Chelsea uzi huu ni batili umepatia kwenye Dortmund na Man U tu