Hizi ni jezi tano zinazovaliwa sana Tanzania

Hizi ni jezi tano zinazovaliwa sana Tanzania

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Haya wale wazee wa outfits ukiitaka mzigo usikae dukani.

Watu wengi wanavaa jezi kama mtoko na jezi zinazotamba sana kwa sasa ni;

1. Barcelona (ule uzi rangi ya gold na poster ya spotfy ni hatari na unakaa mwilini)

2. Manchester united (uzi mzito upo km sweta ivi na chini umekatwa kwa style)

3. Wolves hii timu ya Epl uingereza,uzi wake ni guru Tanzania (huu uzi ni wa njano ile ya kuvutia na unashika mwili km sweta) timu haina mafanikio ila uzi wake haushikiki sokoni.

4. PSG ule uzi mweupe unavaliwa sana bongo ni uzi mkali.

5. Borussia Dortimund hawa kwenye jezi miaka zaidi ya saba wanakimbiza Tanzania.

Fursa kwenu wapambanaji na wajasiriamali.
 
Haya wale wazee wa outfits ukiitaka mzigo usikae dukani

Watu wengi wanavaa jezi km mtoko na jezi zinazotamba sana kwa sasa ni

1.Barcelona (ule uzi rangi ya gold na poster ya spotfy ni hatari na unakaa mwilini)

2. Manchester united (uzi mzito upo km sweta ivi na chini umekatwa kwa style)

3 Wolves hii timu ya Epl uingereza,uzi wake ni guru Tanzania ( huu uzi ni wa njano ile ya kuvutia na unashika mwili km sweta) timu haina mafanikio ila uzi wake haushikiki sokoni

4.PSG ule uzi mweupe unavaliwa sana bongo ni uzi mkali

5. Borussia Dortimund hawa kwenye jezi miaka zaidi ya saba wanakimbiza Tanzania

Furusa kwenu wapambanaji na wajasiriamali
Zigo?
 
uko sahihi ! kwa mwaka juzi ilikuwa uzi wa madrid ila sasa umepotea ila hizo za Barcelona za Gold mpaka wadada wanazipenda sana.
 
Haya wale wazee wa outfits ukiitaka mzigo usikae dukani

Watu wengi wanavaa jezi km mtoko na jezi zinazotamba sana kwa sasa ni

1.Barcelona (ule uzi rangi ya gold na poster ya spotfy ni hatari na unakaa mwilini)

2. Manchester united (uzi mzito upo km sweta ivi na chini umekatwa kwa style)

3 Wolves hii timu ya Epl uingereza,uzi wake ni guru Tanzania ( huu uzi ni wa njano ile ya kuvutia na unashika mwili km sweta) timu haina mafanikio ila uzi wake haushikiki sokoni

4.PSG ule uzi mweupe unavaliwa sana bongo ni uzi mkali

5. Borussia Dortimund hawa kwenye jezi miaka zaidi ya saba wanakimbiza Tanzania

Furusa kwenu wapambanaji na wajasiriamali
Katika jezi zote hapa hakuna jezi inayoizidi ya Arsenal kwa kuvaliwa kitaa

Nina ushahidi wa marafiki zangu ambao ni mashabiki wa Chelsea,Liverpool n.k wamenunua uzi ule mwekundu wa Arsenal

Hii jezi inavaliwa haswaaa.
 
Mkuu Arsenal inaweza kuwa unavaliwa ila haufikii hizo tano za juu,may be top unaingia

Nakubali kwenye basketball kuna
Jordan
Lebron
Kobe
Kelvin durant
Na yule dogo mfupi mweupe wanafanya vizuri
Usisahau jezi No. 23 ya LeBro James kwa upande wa kikapu! unaweza usinielewe!
 
Hakika uzi mkali sana.
Ule uzi hadi wasela wangu washabiki wa nyumbu wamenunua ila wanaiharbu nembo ya Arsenal

Ule uzi ni ngumu sana ukae maeneo yenye watu ukose kumuona mtu kavaa

Hapo kuna jezi mdau kaandika sana utaziona ukiwa Dar ila mikoani ni kazi sana kuziona zinavaliwa sana

Mfano jezi ya Wolves mie nnayo ila tupo wachache sana ila ya Arsenal ilibidi ninunue nyeusi ili kukwepa kufanana na watu wengi.
 
Mkuu Arsenal inaweza kuwa unavaliwa ila haufikii hizo tano za juu,may be top unaingia
Mkuu rudia utafiti wako utajua kuedit hapa

Nakupa hiyo challenge kuna uzi wa Ajax unavaliwa sana kushnda uzi mwingi tu katika hzo ulizoandika hapo.
 
Back
Top Bottom