uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Haya wale wazee wa outfits ukiitaka mzigo usikae dukani.
Watu wengi wanavaa jezi kama mtoko na jezi zinazotamba sana kwa sasa ni;
1. Barcelona (ule uzi rangi ya gold na poster ya spotfy ni hatari na unakaa mwilini)
2. Manchester united (uzi mzito upo km sweta ivi na chini umekatwa kwa style)
3. Wolves hii timu ya Epl uingereza,uzi wake ni guru Tanzania (huu uzi ni wa njano ile ya kuvutia na unashika mwili km sweta) timu haina mafanikio ila uzi wake haushikiki sokoni.
4. PSG ule uzi mweupe unavaliwa sana bongo ni uzi mkali.
5. Borussia Dortimund hawa kwenye jezi miaka zaidi ya saba wanakimbiza Tanzania.
Fursa kwenu wapambanaji na wajasiriamali.