Hizi ni kali za mwaka

Hizi ni kali za mwaka

BatteryLow

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
446
Reaction score
149
1. Mama kapanda daladala, tiketi aliyopewa kusoma mmiliki wa gari ni mumewe. Kumuuliza konda konda akamjibu 'mbona ziko nyingi tu!' mama hoi. Hii ni Dsm
2.Jamaa alipofariki matangazo ya kifo yakatoka mawili kwenye gazeti la siku moja. Tangazo 1 toka kwa mkewe na jingine toka kwa hawara. Sasa haikueleweka kama yule mchapaji wa gazeti wa siku ile alifanya makusudi au hakuelewa kwani matangazo hayo yalifuatana na yana picha moja yote. Hii imetokea Kenya.
 
[emoji42] [emoji42] [emoji42]
 
pwbol5za4wp5vk4ab57b05e6893292.jpg

Two obituaries for the same man, using the same photograph, appear side-by-side in the newspaper Photo
 
pwbol5za4wp5vk4ab57b05e6893292.jpg

Two obituaries for the same man, using the same photograph, appear side-by-side in the newspaper Photo
Hapo kuna kesi nzito ya mirathi na yenye vurugu nyingi yaja, papuchi mbili iko dai haki toka mali za marehemu!!!
 
Back
Top Bottom