BatteryLow
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 446
- 149
1. Mama kapanda daladala, tiketi aliyopewa kusoma mmiliki wa gari ni mumewe. Kumuuliza konda konda akamjibu 'mbona ziko nyingi tu!' mama hoi. Hii ni Dsm
2.Jamaa alipofariki matangazo ya kifo yakatoka mawili kwenye gazeti la siku moja. Tangazo 1 toka kwa mkewe na jingine toka kwa hawara. Sasa haikueleweka kama yule mchapaji wa gazeti wa siku ile alifanya makusudi au hakuelewa kwani matangazo hayo yalifuatana na yana picha moja yote. Hii imetokea Kenya.