MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Hiyo pia kali ila za hawa wakongwe ni balaa zaidi.Fally ipupa live in dar es salaam 2009
Ya Fally ni nzuri ila ilikuwa imepooza kulinganisha na hizi nilizopostHiyo namba kwa upande wangu ndio namba moja, vipi na ile live show ya Fally Ipupa aliofanyia Dar es salaam haipo kwenye show bora kwako?
Walizuiliwa kufanya shows ULAYA kwa zaidi ya miaka 10 ikawaathiri sana.Aiseee hawa wakongomani enzi zao zilikuwa ni hatari haswaaa shida ni kwamba hizi vita sijui zinawaharibu kwa sasa, vizazi hivi havipo tena miaka hii.
Mkongo mzuri kwenye kuimba ila usithubutu kwenda kwao.
Sijawahi kuisikia hii taarifa, kwanini walizuiliwa?Walizuiliwa kufanya shows ULAYA kwa zaidi ya miaka 10 ikawaathiri sana.
Soma huu uziSijawahi kuisikia hii taarifa, kwanini walizuiliwa?
Fally si kafanya show nyingi tu tzYa Fally ni nzuri ila ilikuwa imepooza kulinganisha na hizi nilizopost
Ata sielewi nimeelewa fally ipupa tu ๐๐พAnastasia21 kuna unayemjua katika hawa wanaotajwa
Hata koffi Olomide haumjui?Ata sielewi nimeelewa fally ipupa tu ๐๐พ