Hizi ni LIVE SHOWS zangu bora za muda wote nisizochoka kuzitazama.

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Hiyo namba mbili kwa upande wangu ndio namba moja, vipi na ile live show ya Fally Ipupa aliofanyia Dar es salaam haipo kwenye show bora kwako?
 
Aiseee hawa wakongomani enzi zao zilikuwa ni hatari haswaaa shida ni kwamba hizi vita sijui zinawaharibu kwa sasa, vizazi hivi havipo tena miaka hii.

Mkongo mzuri kwenye kuimba ila usithubutu kwenda kwao.
 
Walizuiliwa kufanya shows ULAYA kwa zaidi ya miaka 10 ikawaathiri sana.
 
Back
Top Bottom