Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Blah blah blahRaw GDP?
Do you even know what "G" stands for in GDP? I brought you raw GDP? What are you talking about??
You can measure GDP using any exchange rate (Euros, Dollars, .. etc..). Or you can use "International Dollars"
Now, international dollars gives you Purchasing Power Parity...
Learn the basics first...
Kwa mweupe kama wewe lakini sio kwa mtu kama mimi ambae nimeshawahi kuwa-lead hadi watu wa nje ya Afrika! Pole sana, seems you're not in my league!
Btw, kwanini uwaone wapo smart sana only kwa kuwaangalia watu wa juu ambao ni tone tu la maji kwenye bahari?!
Those are theatrics … huwezi kufananisha corruption ya Kenya na Tanzania.Parliamentary committees zao ni kama za US congress....watu wanahojiwa kwa congressional hearing live on TV kama CSPAN ya US vile....
PAC inahoji senators live on TV matumizi ya serikali kwenye county zao kwa kutumia report za CAG wao na watu wanajibishwa live on TV....
Sisi hapa tunafanya umatako juu ya umatako....Report ya CAG spika alivyo mwehu hataki ijadiliwe!
Ten years ago Tanzania tulikua mbele ya Kenya kidemokrasia kwa hii hii katiba yetu kiwete,sasa hivi tumerudi chini kwenye matope.....
Mnaudhi sana *****
Unajitahidi kuwa mstaarabu bruh. Don waste yo time on these brainwashed creatures who only speaks when it fits their illussions. Yoyote ambaye ana knowldge ya economics anaelewa kuwa unabishana na mtu ambaye hajui economics ni nini !!!!...Raw GDP?
Do you even know what "G" stands for in GDP? I brought you raw GDP? What are you talking about??
You can measure GDP using any exchange rate (Euros, Dollars, .. etc..). Or you can use "International Dollars"
Now, international dollars gives you Purchasing Power Parity...
Learn the basics first...
Wanakupita wewe labda. Mimi nawaona wapo nyuma yangu kwenye side mirror.Blah blah blah
Twende tukafanye kazi,acha pipiiii nyingi...
Tunavyoendelea kupoteza muda na hizi porojo hawa wehu wa Kenya wanazidi kukazia gap..
Shika shamba kalime tufanye exports!
Hahahaa! Unajua nilikuwa sijaona hapo! We jamaa unayejita sijui Wyatt Mathewson, unaweza kutuambia hiyo Raw GDP ndo inakuwaje?! Kelele nyingi, ndo maana tangu mwanzo nilikuambia wewe jamaa ni mweupe, and totally insecure! Stop pretending to be like one while you're thousands of miles away from the perimeter!!Raw GDP?
Do you even know what "G" stands for in GDP? I brought you raw GDP? What are you talking about??
You can measure GDP using any exchange rate (Euros, Dollars, .. etc..). Or you can use "International Dollars"
Now, international dollars gives you Purchasing Power Parity...
Learn the basics first...
You are right, napoteza muda.Unajitahidi kuwa mstaarabu bruh. Don waste yo time on these brainwashed creatures who only speaks when it fits their illussions. Yoyote ambaye ana knowldge ya economics anaelewa kuwa unabishana na mtu ambaye hajui economics ni nini !!!!...
Beautiful advice! Hata kama ushauri huo sikupewa mimi, nami sina budi kuufanyia kazi!!Unajitahidi kuwa mstaarabu bruh. Don waste yo time on these brainwashed creatures who only speaks when it fits their illussions. Yoyote ambaye ana knowldge ya economics anaelewa kuwa unabishana na mtu ambaye hajui economics ni nini !!!!...
Those are theatrics … huwezi kufananisha corruption ya Kenya na Tanzania.
Kenya is waaay more corrupt! By far, far, far! Than Tanzania.
While Tanzania stands at the 99th position, Kenya and Nigeria share the144th position on the CPI index ...
You are right, napoteza muda.
Beautiful advice! Hata kama ushauri huo sikupewa mimi, nami sina budi kuufanyia kazi!!
You are so tempting to ….. urrghh!!True,napoteza muda,thats your problem,we cant help you!
Nani kakwambia upoteze muda na mimi to begin with?
Thats your own poor judgement,dont blame others!
You see!You are so tempting to ….. urrghh!!
It was my poor judgement, you are right. Never thought Jay-Z was dumb.
Mimi ni mtanzania ila kiukweli tena kwa dhati kabisa Wakenya wapo miaka mitano mbele yetu kabisa.
Yale tunayoyafanya hapa baada ya watu kutumbuliwa na serikali hasa katika ujasiriamali Wakenya wameyafanya back from 1999's .
Their work ethics na kujituma kazini wapo vizuri sana na labda ni kutokana na fewer opportunities za ajira nchini kwao zinazowashape kujituma kazini
You want to prove that Kenyans are ahead of us? Ok Visit Arusha and Moshi atleast look at their daily work behavior and social organization yao.
Mwisho Tanzania ina nafasi kubwa sana ya kukua na kuipiku Kenya ndani ya miaka michache ijayo only if Education will be given to many people and jobs are rarely

Useless commentHao walio comment kuwa Kenya ipo vizuri compare Tz all are men. It seems baada ya kufika Nai walipata Demu za Kikuyu, Kamba, Luo.
Wazungu vile wakinogewa na Ma-luv acha waisifie mpaka Kibera slums
[emoji848]
Watu wengine mkuu unawasoma then unawahurumia tu,hiyo kenya inyosifiwa hapa bado ni masikini tu kama nchi nyingine tu za afrika,tukiondoa afrika ya kusini,morocco na egypt nchi nyingine zote including nigeria bado kuna kazi kubwa ya kufanyaHivi akili inapimwa kwa kujua kingereza?