Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
View attachment 1100607
Tanzania ina GDP ppp of 163.9 bn $(2017)
Kenya 163.3 bn $(2017)
GDP, PPP (current international $) - Tanzania, Kenya | Data
GDP, PPP (current international $) - Tanzania, Kenya from The World Bank: Datadata.worldbank.org
Wewe nae sijui kiazi...
Hiyo sio GDP PPP......
Hiyo ni GDP tu.....(Pato Ghafi)
Lazima ugawanye kwa idadi ya watu upate PPP......hapo ndio wanapotuzidi maana sisi lipopulation letu likubwa....
Tunajenga kipato tunagawana wengiiiiiii.....which make us below them in PPP....
Tuna idadi kubwa ya watu hawafanyi uzalishaji.
Kenya wenyewe wachache ila wanatoa pato ghafi kama letu ukigawanya unakuta mtu mmoja wa Kenya anapata mgao mzito zaidi ya mTZ!
Nenda tena kajifunze kusoma hizo data za WB!