Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Work ethics, yaani hapa ndio tunatofautiana pakubwa na Watanzania, ni nadra sana kumpata Mtanzania anayeheshimu ratiba ya vikao, muda wa kazi, kujituma kwa kasi, yaani kwa hili wasipolifanyia kazi nch yao itaendelea kuchelewa sana. Kingine hawapendi kujiongeza, unakuta mtu na kale kadigri kake ka mwanzo, hataki kuhudhuria masomo yoyote zaidi ya hapo, hataki hata kusoma vitabu wala nini, hata kwenye eneo la kazi mtu hataki kujiongeza hata kimajukumu, yaani pale alipowekwa na kuelekezwa ndipo ataishia miaka yote.
Japo muda usio mrefu watatiririka huku kwa zile povu za kawaida, ila huo ndio ukweli ambao walishazika vichwa kama mbuni ili kujifariji. Wanampa Magufuli tabu sana, kila siku anatumbua, anateua na kutengua, anamuweka huyu huku anamleta yule huku anampeleka huyu kule lakini ndio wale wale tu, wapo wapo hapabadiliki kitu.
Wao husema vitu lazima viende kibongobongo......
Bro kwani hujui kwamba wachagga ni moja ya makabila makubwa Tz so, ukisema population yao ni ndogo unalinganisha na ipi ???....Mzee unasema kweli.....
Wachagga wanajaribu kuchangamsha ila population yao ndogo....
Pia Wakenya waliopo TZ wanajaribu kutukimbiza nadhani tutabadilika.....
Ni udhaifu tulio nao.....
Uzuri tunajua tatizo letu,hatukatai....tutalipatia solution tu!
Aerial view of mbeya dont show us only 1 streetThis is Mbeya in Tanzania. Just Mbeya. Neither the capital or a business city. Just Mbeya. View attachment 1100095
Kenya is 75% desert and you know.Saudi & Pakistan remember are countries found in different continents ( Middle east & Asia) contrary to Kenya & Tz both are in the same Tropical ( East Africa) it means have the same Weather!!!
Tatizo la Kenya ni wamewatupa mkono Farmers. Not much efforts has been taken so far to boost Agriculture sector in Kenya. Politicians are much focus on Projects which have no direct impact to distitute people of Kenya. Kibaya zaidi wameshawasoma kuwa mnapenda sifa therefore "build them Flyovers; Tall buildings They will be happy indeed!!!"
Kenyans you need to understand your leaders.
Bro mpenda moro [emoji4][emoji4][emoji4].. Tatizo lako wala sio kusema ukweli , mara nyingi huwa unasema ukweli ila huwa unazidisha chumvi hadi unaonekana upo biased.Dah! Wachache kama wewe walio na ujasiri wa kuukabili ukweli na kuufanyia kazi. Mimi binafsi kuna madogo nimewafanyia mentoring hapo Bongo na wanakwenda vizuri sana, kila nikiona vitu wanavyotimiza huwa napata fahari, ila huwa sio rahisi, ktu cha kwanza niligundua kwa Watanzania usiwe mkali kwao, bembeleza tu na hatimaye wanaitikia mmoja mmoja.
Mkuu wanakuelewa ila kutokana na chuki zao watabishaBro mpenda moro [emoji4][emoji4][emoji4].. Tatizo lako wala sio kusema ukweli , mara nyingi huwa unasema ukweli ila huwa unazidisha chumvi hadi unaonekana upo biased.
WaTz wengi kiukweli wale waliopo vizuri upstairs ni wachache walioingia katika business sector as proffessionals ukiwatoa wachagga na somehow wahaya (thou sio nzuri kutumia makabila directly) waliopata exposure mwanzoni maana toka mwanzo wazazi wetu hawakuwa business oriented na kulikuwa na negative perception towards private sectors na achilia mbali masomo ya biashara na sanaa yaliyoonekana ya KIKE na watu walio wadhaifu kichwani au hawapo serious na masomo. This gave a room kwa foreigners na watz waliosoma nje kuendesha makampuni
But the situation have changed currently, vijana wengi wa leo wapo ambitious and somehow can handle the business risks. Sasa hivi vijana baadhi wa chuo wanafanya biashara kisasa na kufanya export. This is from my personal experience.. vyuo vinazidi kuongeza incubators ili kuongeza mentorship kwa vijana kuwa self reliant. Kazi kwa sasa hazipo so hiyo ndio option na kwa maisha ya vijana wa sasa huwezi kumlipa laki 5 au 6 akufanyie kazi comfortably..
Mzee ushawahi kuona wabongo na foreigners wanalipwa mshahara kiasi gani katika kazi moja ????.... na tena sometimes hata huyo mgeni anakuwa wa kawaida na hata haelewi soko la huku linaendeshwaje hadi apate assistance kwa wenyeji !!!...
Ambayo huwa unayasema huwa kwa kiasi kikubwa ni ukweli lakini sitaki kuamini katika maisha yako yote Tz hujawahi kukutana na watanzania waliopo vizuri. Thats a big lie
Tunanunua hatuchukui bureNIGHTMARE!!! (kenya is wealth than Tz)
View attachment 1100353
Kujeni Tz Mchukue Mahindi ya njaa
π€£π€£π€£π€£π€£
KENYA CLIMATEKenya is 75% desert and you know.
Somalia and Tanzania are both in the same region,East Africa.
FYI Arabia and Pakistan are both in Asia.
There's no continent called Middle East.
Its just a construct for a region.
Eti 75% ya Kenya ni Deseart!!! Hakuna hicho kitu
Kenya is 75% desert and you know.
Somalia and Tanzania are both in the same region,East Africa.
FYI Arabia and Pakistan are both in Asia.
There's no continent called Middle East.
Its just a construct for a region.
We jamaa Ni fala nimeangalia texts zako mpaka nashindwa kuvumilia!!Nazungumzia UG,KE na TZ.....
Mzee unaenda kuniletea porojo za worldwide!
Usiwe unafeli namna hii.....wewe ndio unafanya elimu yetu TZ inashuka kila siku!
We jamaa Ni fala nimeangalia texts zako mpaka nashindwa kuvumilia!!
Kwanza, hizo post attachment niza 2011 & moja ni ya 2016 na Sasa hivi Ni 2019 utalinganisha vipi wakati Kila kukicha miradi inazinduliwa
Alaf Kuna mshamba huyo amekaa Tanzania miaka 2 alaf usikute kigoma ukoh alaf amekaa Kenya wiki alaf Nairobi ndo aje afananishe Kenya vs Tanzania Ni ushamba
Alaf ujinga ambao umenifanya Ni respond Ni hiyo eti watanzania hatujui kingereza hivyo Tanzania iko chini kuliko Kenya& Uganda
Ni kweli wabongo hatuna kingereza ila sio sababu ya kusema uwezo wetu kwenye kazi &IQ mdogo kuliko hao watu
your brain washed!! English language isn't that important as you mentioned
Alaf be proud na lugha yako, watanzania hatuna kingereza kizuri kama majirani kwa sababu tuna lugha yetu mama KISWAHILI na ndiyo identity yetu Kama taifa kwa nn tupambane na kingereza!!!
Kitu ambacho nimekipenda Tanzania Ni unit hi nchii Ni moja nenda Kijiji chochote Tanzania majority wanaongea KISWAHILI Yani ukienda hata dindila korogwe vijijini mpakani na Kenya watoto wanakimbia magari ila wanajua KISWAHILI nenda chinyauku DODOMA nenda sitaki dawa nenda uko kasuru mipakani maporini watu wanaongea KISWAHILI sababu ndio lugha yetu inayotuunganisha sisi wabongo na ndio identity ya mtanzania
Sasa mkenya,mganda, wanaongea kingereza Kama lugha ya taifa unawatofautishaje bila kuwauliza because they have no identity
Mozambique wanaongea kireno lugha ya mkoloni ,Congo wanaongea french lugha ya mkoloni lakini watanzania tuna lugha mama KISWAHILI
REST IN PEACE MWLM NYERERE ametufanya watanzania tuwe unique mzee alitutengenezea hiii nchii!!!!
Seema we jamaa ujielewi na nyie ndo mnaita baba zenu dady pia nyie ndo wale wa skuli Basi mlitia baba zenu hasara mkiwa watoto wadogo!!
ππππππ Nimesha mpanga muhudumuHongera sana mkuu agiza soda kubwa nitalipia
Sio lazima.....ila acha kujua uone!
Emails za kikazi au kibiashra unaandika Kihaya?
Presentations na tenders unaandika Kisukuma?
Mbuzi wewe!
Hilo siyo tatizo, ni faida.Mzee unasema kweli.....
Wachagga wanajaribu kuchangamsha ila population yao ndogo....
Pia Wakenya waliopo TZ wanajaribu kutukimbiza nadhani tutabadilika.....
Ni udhaifu tulio nao.....
Uzuri tunajua tatizo letu,hatukatai....tutalipatia solution tu!
Acha kupaniki,tuliza mapumbu!We jamaa Ni fala nimeangalia texts zako mpaka nashindwa kuvumilia!!
Kwanza, hizo post attachment niza 2011 & moja ni ya 2016 na Sasa hivi Ni 2019 utalinganisha vipi wakati Kila kukicha miradi inazinduliwa
Alaf=HalafuAlaf Kuna mshamba huyo amekaa Tanzania miaka 2 alaf usikute kigoma ukoh alaf amekaa Kenya wiki alaf Nairobi ndo aje afananishe Kenya vs Tanzania Ni ushamba
Nani kasema na wapi mtu kaandika eti akijua Kiingereza ni ana IQ kubwa sana zaidi ya anaejua Kiswahili pekee yake?Alaf ujinga ambao umenifanya Ni respond Ni hiyo eti watanzania hatujui kingereza hivyo Tanzania iko chini kuliko Kenya& Uganda
Ni kweli wabongo hatuna kingereza ila sio sababu ya kusema uwezo wetu kwenye kazi &IQ mdogo kuliko hao watu
your brain washed!! English language isn't that important as you mentioned
Alaf be proud na lugha yako, watanzania hatuna kingereza kizuri kama majirani kwa sababu tuna lugha yetu mama KISWAHILI na ndiyo identity yetu Kama taifa kwa nn tupambane na kingereza!!!
Nani kakwambia Tanzania kuna "Unity" eti sababu wanaongea Kiswahili?Kitu ambacho nimekipenda Tanzania Ni unit hi nchii Ni moja nenda Kijiji chochote Tanzania majority wanaongea KISWAHILI Yani ukienda hata dindila korogwe vijijini mpakani na Kenya watoto wanakimbia magari ila wanajua KISWAHILI nenda chinyauku DODOMA nenda sitaki dawa nenda uko kasuru mipakani maporini watu wanaongea KISWAHILI sababu ndio lugha yetu inayotuunganisha sisi wabongo na ndio identity ya mtanzania
Hujui unachokisema kwenye hii paragraph!Sasa mkenya,mganda, wanaongea kingereza Kama lugha ya taifa unawatofautishaje bila kuwauliza because they have no identity
Mozambique wanaongea kireno lugha ya mkoloni ,Congo wanaongea french lugha ya mkoloni lakini watanzania tuna lugha mama KISWAHILI
REST IN PEACE MWLM NYERERE ametufanya watanzania tuwe unique mzee alitutengenezea hiii nchii!!!!
Acha umama wewe!Seema we jamaa ujielewi na nyie ndo mnaita baba zenu dady pia nyie ndo wale wa skuli Basi mlitia baba zenu hasara mkiwa watoto wadogo!!
Hilo siyo tatizo, ni faida.
Hiyo ni sehemu ndogo sana ya maisha jumla ya binadamu. Ungekuwa unasema bila kiingereza huwezi kufanya innovation and discoveries ningekipa heshima kiingereza isiyo na mfanowe.