Hizi ni opinions za watu about Kenya na Tanzania. Non natives. Ni opinions, so dont catch feels guys

Ngoja niwape visu watoto wa Uhuru.
Kenya is not our competitor any more. Hawa ni wateja wetu. Tunamtafuta Botswana na SA baada ya hapo ni Morocco na Egypt basi.
IMG_20190517_145747_176.jpg
 
Work ethics, yaani hapa ndio tunatofautiana pakubwa na Watanzania, ni nadra sana kumpata Mtanzania anayeheshimu ratiba ya vikao, muda wa kazi, kujituma kwa kasi, yaani kwa hili wasipolifanyia kazi nch yao itaendelea kuchelewa sana. Kingine hawapendi kujiongeza, unakuta mtu na kale kadigri kake ka mwanzo, hataki kuhudhuria masomo yoyote zaidi ya hapo, hataki hata kusoma vitabu wala nini, hata kwenye eneo la kazi mtu hataki kujiongeza hata kimajukumu, yaani pale alipowekwa na kuelekezwa ndipo ataishia miaka yote.
Japo muda usio mrefu watatiririka huku kwa zile povu za kawaida, ila huo ndio ukweli ambao walishazika vichwa kama mbuni ili kujifariji. Wanampa Magufuli tabu sana, kila siku anatumbua, anateua na kutengua, anamuweka huyu huku anamleta yule huku anampeleka huyu kule lakini ndio wale wale tu, wapo wapo hapabadiliki kitu.

Wao husema vitu lazima viende kibongobongo......

Umeongea pumba tupu, Faiza foxy anasemaga hivi mlienda shule kusomea ujinga, nenda kwenu Bungoma ukafiche ujinga wako
 
Mzee unasema kweli.....

Wachagga wanajaribu kuchangamsha ila population yao ndogo....

Pia Wakenya waliopo TZ wanajaribu kutukimbiza nadhani tutabadilika.....

Ni udhaifu tulio nao.....

Uzuri tunajua tatizo letu,hatukatai....tutalipatia solution tu!
Bro kwani hujui kwamba wachagga ni moja ya makabila makubwa Tz so, ukisema population yao ni ndogo unalinganisha na ipi ???....

In real sense kazi nyingi zilizopo katika business sector zinakaliwa na foreigners and not only Kenyans na hata kama ni wazawa bhasi wengi wana elimu ya nje yaani this is the bitter pill to swallow lakini hakuna namna.

Ukiangalia causatives inatokea kwa wazazi, toka zamani wazazi wanataka watoto wasome sayansi au proffession nyingine zilizoonekana na title, hii iliwafanya watoto wengi waende huko haswaa ile cream ya top brains. Kwa wazazi wetu wa kizamani ukimuuliza kama anaijua finance, marketing, project management, enterprenuirship and procurement ni nadra kuzijua kwa sababu ulimwengu wao haukuwa huko wakati wakenya ambao ni capitalists hizo terms zilikuwa ni kawaida. Hapo ndio dominance yao na foreigners wengine iliposhika kasi,

It was not solely about the capacity of people but our perception towards education, our culture which grew us to become listeners and less confident about ourselves, lugha mzee lugha and lack of exposure yaani kuwa less aggressive in life.

Hivi ndivyo vitu wenzetu walituzidi mapema na kuleta perception za kuona wageni wapo more capable kutuzidi which was true kwa miaka iliyopita lakini sio hii. Tupo kwenye evolution na ninaamini hiki kizazi cha sasa ndo kitaleta mabadiliko
 
Saudi & Pakistan remember are countries found in different continents ( Middle east & Asia) contrary to Kenya & Tz both are in the same Tropical ( East Africa) it means have the same Weather!!!
Tatizo la Kenya ni wamewatupa mkono Farmers. Not much efforts has been taken so far to boost Agriculture sector in Kenya. Politicians are much focus on Projects which have no direct impact to distitute people of Kenya. Kibaya zaidi wameshawasoma kuwa mnapenda sifa therefore "build them Flyovers; Tall buildings They will be happy indeed!!!"
Kenyans you need to understand your leaders.
Kenya is 75% desert and you know.
Somalia and Tanzania are both in the same region,East Africa.
FYI Arabia and Pakistan are both in Asia.
There's no continent called Middle East.
Its just a construct for a region.
 
Dah! Wachache kama wewe walio na ujasiri wa kuukabili ukweli na kuufanyia kazi. Mimi binafsi kuna madogo nimewafanyia mentoring hapo Bongo na wanakwenda vizuri sana, kila nikiona vitu wanavyotimiza huwa napata fahari, ila huwa sio rahisi, ktu cha kwanza niligundua kwa Watanzania usiwe mkali kwao, bembeleza tu na hatimaye wanaitikia mmoja mmoja.
Bro mpenda moro [emoji4][emoji4][emoji4].. Tatizo lako wala sio kusema ukweli , mara nyingi huwa unasema ukweli ila huwa unazidisha chumvi hadi unaonekana upo biased.

WaTz wengi kiukweli wale waliopo vizuri upstairs ni wachache walioingia katika business sector as proffessionals ukiwatoa wachagga na somehow wahaya (thou sio nzuri kutumia makabila directly) waliopata exposure mwanzoni maana toka mwanzo wazazi wetu hawakuwa business oriented na kulikuwa na negative perception towards private sectors na achilia mbali masomo ya biashara na sanaa yaliyoonekana ya KIKE na watu walio wadhaifu kichwani au hawapo serious na masomo. This gave a room kwa foreigners na watz waliosoma nje kuendesha makampuni

But the situation have changed currently, vijana wengi wa leo wapo ambitious and somehow can handle the business risks. Sasa hivi vijana baadhi wa chuo wanafanya biashara kisasa na kufanya export. This is from my personal experience.. vyuo vinazidi kuongeza incubators ili kuongeza mentorship kwa vijana kuwa self reliant. Kazi kwa sasa hazipo so hiyo ndio option na kwa maisha ya vijana wa sasa huwezi kumlipa laki 5 au 6 akufanyie kazi comfortably..

Mzee ushawahi kuona wabongo na foreigners wanalipwa mshahara kiasi gani katika kazi moja ????.... na tena sometimes hata huyo mgeni anakuwa wa kawaida na hata haelewi soko la huku linaendeshwaje hadi apate assistance kwa wenyeji !!!...

Ambayo huwa unayasema huwa kwa kiasi kikubwa ni ukweli lakini sitaki kuamini katika maisha yako yote Tz hujawahi kukutana na watanzania waliopo vizuri. Thats a big lie
 
Mkuu wanakuelewa ila kutokana na chuki zao watabisha
 
Kenya is 75% desert and you know.
Somalia and Tanzania are both in the same region,East Africa.
FYI Arabia and Pakistan are both in Asia.
There's no continent called Middle East.
Its just a construct for a region.
KENYA CLIMATE
big lier!!!!
1100400
 
Kenya is 75% desert and you know.
Somalia and Tanzania are both in the same region,East Africa.
FYI Arabia and Pakistan are both in Asia.
There's no continent called Middle East.
Its just a construct for a region.
1100429
 
Nazungumzia UG,KE na TZ.....

Mzee unaenda kuniletea porojo za worldwide!

Usiwe unafeli namna hii.....wewe ndio unafanya elimu yetu TZ inashuka kila siku!
We jamaa Ni fala nimeangalia texts zako mpaka nashindwa kuvumilia!!
Kwanza, hizo post attachment niza 2011 & moja ni ya 2016 na Sasa hivi Ni 2019 utalinganisha vipi wakati Kila kukicha miradi inazinduliwa

Alaf Kuna mshamba huyo amekaa Tanzania miaka 2 alaf usikute kigoma ukoh alaf amekaa Kenya wiki alaf Nairobi ndo aje afananishe Kenya vs Tanzania Ni ushamba

Alaf ujinga ambao umenifanya Ni respond Ni hiyo eti watanzania hatujui kingereza hivyo Tanzania iko chini kuliko Kenya& Uganda
Ni kweli wabongo hatuna kingereza ila sio sababu ya kusema uwezo wetu kwenye kazi &IQ mdogo kuliko hao watu
your brain washed!! English language isn't that important as you mentioned
Alaf be proud na lugha yako, watanzania hatuna kingereza kizuri kama majirani kwa sababu tuna lugha yetu mama KISWAHILI na ndiyo identity yetu Kama taifa kwa nn tupambane na kingereza!!!

Kitu ambacho nimekipenda Tanzania Ni unit hi nchii Ni moja nenda Kijiji chochote Tanzania majority wanaongea KISWAHILI Yani ukienda hata dindila korogwe vijijini mpakani na Kenya watoto wanakimbia magari ila wanajua KISWAHILI nenda chinyauku DODOMA nenda sitaki dawa nenda uko kasuru mipakani maporini watu wanaongea KISWAHILI sababu ndio lugha yetu inayotuunganisha sisi wabongo na ndio identity ya mtanzania

Sasa mkenya,mganda, wanaongea kingereza Kama lugha ya taifa unawatofautishaje bila kuwauliza because they have no identity
Mozambique wanaongea kireno lugha ya mkoloni ,Congo wanaongea french lugha ya mkoloni lakini watanzania tuna lugha mama KISWAHILI
REST IN PEACE MWLM NYERERE ametufanya watanzania tuwe unique mzee alitutengenezea hiii nchii!!!!

Seema we jamaa ujielewi na nyie ndo mnaita baba zenu dady pia nyie ndo wale wa skuli Basi mlitia baba zenu hasara mkiwa watoto wadogo!!
 
Hongera sana mkuu agiza soda kubwa nitalipia

Sio lazima.....ila acha kujua uone!

Emails za kikazi au kibiashra unaandika Kihaya?

Presentations na tenders unaandika Kisukuma?

Mbuzi wewe!

Hiyo ni sehemu ndogo sana ya maisha jumla ya binadamu. Ungekuwa unasema bila kiingereza huwezi kufanya innovation and discoveries ningekipa heshima kiingereza isiyo na mfanowe.
 
Mzee unasema kweli.....

Wachagga wanajaribu kuchangamsha ila population yao ndogo....

Pia Wakenya waliopo TZ wanajaribu kutukimbiza nadhani tutabadilika.....

Ni udhaifu tulio nao.....

Uzuri tunajua tatizo letu,hatukatai....tutalipatia solution tu!
Hilo siyo tatizo, ni faida.
 
We jamaa Ni fala nimeangalia texts zako mpaka nashindwa kuvumilia!!
Kwanza, hizo post attachment niza 2011 & moja ni ya 2016 na Sasa hivi Ni 2019 utalinganisha vipi wakati Kila kukicha miradi inazinduliwa
Acha kupaniki,tuliza mapumbu!

It doesn't matter which year.....toka 1961/1962 hatujawahi ipita Kenya kwa maendeleo!

And that's a FACT!

Alaf Kuna mshamba huyo amekaa Tanzania miaka 2 alaf usikute kigoma ukoh alaf amekaa Kenya wiki alaf Nairobi ndo aje afananishe Kenya vs Tanzania Ni ushamba
Alaf=Halafu

ukoh=Huko

Kajifunze Kiswahili busy body wewe!

Alaf ujinga ambao umenifanya Ni respond Ni hiyo eti watanzania hatujui kingereza hivyo Tanzania iko chini kuliko Kenya& Uganda
Ni kweli wabongo hatuna kingereza ila sio sababu ya kusema uwezo wetu kwenye kazi &IQ mdogo kuliko hao watu
your brain washed!! English language isn't that important as you mentioned
Alaf be proud na lugha yako, watanzania hatuna kingereza kizuri kama majirani kwa sababu tuna lugha yetu mama KISWAHILI na ndiyo identity yetu Kama taifa kwa nn tupambane na kingereza!!!
Nani kasema na wapi mtu kaandika eti akijua Kiingereza ni ana IQ kubwa sana zaidi ya anaejua Kiswahili pekee yake?

Unajitungia hoja zako mwenyewe na kujijibu wewe pekee yako.

Kiswahili sio identity yako,ni lugha ya Waswahili wa Pwani,wewe Msukuma,mother tongue yako ni Kisukuma,acha kujipa vyeo usivyokua navyo!

Kingereza is the most powerful language in the world,hutaki andamana!

Kama Kiswahili ni bora sana Tanzania kwanini tunafundisha Kiingereza toka standard 3 up to University?

Even worse Secondary School level mpaka University level English is the defacto medium of instructions kisheria,huruhusiwi kufundusha kwa Kiswahili!

Unajua sababu ni nini wewe mwana Kiswahili bora duniani?

Kitu ambacho nimekipenda Tanzania Ni unit hi nchii Ni moja nenda Kijiji chochote Tanzania majority wanaongea KISWAHILI Yani ukienda hata dindila korogwe vijijini mpakani na Kenya watoto wanakimbia magari ila wanajua KISWAHILI nenda chinyauku DODOMA nenda sitaki dawa nenda uko kasuru mipakani maporini watu wanaongea KISWAHILI sababu ndio lugha yetu inayotuunganisha sisi wabongo na ndio identity ya mtanzania
Nani kakwambia Tanzania kuna "Unity" eti sababu wanaongea Kiswahili?

Kenya wanaongea Kiingereza na lugha zao za kienyeji ila wana uzalendo na nchi yao zaidi ya Watanzania,jiulize kwanini?

Huna jibu....

Sasa mkenya,mganda, wanaongea kingereza Kama lugha ya taifa unawatofautishaje bila kuwauliza because they have no identity
Mozambique wanaongea kireno lugha ya mkoloni ,Congo wanaongea french lugha ya mkoloni lakini watanzania tuna lugha mama KISWAHILI
REST IN PEACE MWLM NYERERE ametufanya watanzania tuwe unique mzee alitutengenezea hiii nchii!!!!
Hujui unachokisema kwenye hii paragraph!

Hakuna taifa halina identity,kama wasingekua na identity taifa lisingeweza kujengwa to begin with!

Na lugha sio big of a fact kama unavyojitapa hapa maana inachenjiwa at any time..Kama Rwanda walipoamka asubuhi wakasema tunataka kua Anglophone na sio Francophone country,wakabadili dakika 0.

Leo Kenya wakisema wa-change English to 100% Kiswahili ni 5 years English is gone!

Plus,ni stupidity kuacha English for some weak languages!

Plus Nyerere alikua ni mpumbavu wa mwisho ndio maana mwenzake Lee Kuan Yew ameitoa Singapore kutoka 3rd world country to 1st world country ndani ya 30yrs ya utawala wake na Nyerere couldn't do shit!

Lee Kuan Yew ali-embrace English kama defacto language of Singapore,aka-embrace Capitalism,then akafanya utekelezaji,the rest is history!

Nyerere sasa,nonsense juu ya nonsense!

Seema we jamaa ujielewi na nyie ndo mnaita baba zenu dady pia nyie ndo wale wa skuli Basi mlitia baba zenu hasara mkiwa watoto wadogo!!
Acha umama wewe!

Ni heri nivae ndala wanangu waende English schools na colleges waende US au UK wakajifunze jinsi ya kuzalisha mali kwa akili then waje hapa waajiri wanao vizuri!

Nipo radhi kutoa any dollar to archive that.

Wewe endelea kujipaka mavi ukidhani ndio system sahihi mpaka unakuja kustuka wanao ni third class citizens kwenye hii nchi,just wait!

Jiulize,international schools zinafunguliwa kila siku Tanzania,na ada ni 30,000USD na zinajaa kila siku,halafu wewe mbuzi mnya karanga unajifanya eti ooh hivi,ooh vile,sijui ubepari sio,sijui English sio,kwenda kusoma Ulaya sio,sijui blah blah,then uone moto wake ndani ya 10years from now!

Good luck na maubishi yako ya kiduwanzi!
 
Hilo siyo tatizo, ni faida.

Mkuu kua serious...tatizo unali-view kama Faida!

Aisee umenipa perspective ya ajabu sana!

Ila sikuamini kabisa!

Uchapakazi na aggressiveness in executing things on time and quick ni kitu inatakiwa tujifunze,tena NOW,na sio kesho mzee!
 
Hiyo ni sehemu ndogo sana ya maisha jumla ya binadamu. Ungekuwa unasema bila kiingereza huwezi kufanya innovation and discoveries ningekipa heshima kiingereza isiyo na mfanowe.

All structured sciences are coming from white people.

All scientific knowledge are written in English.

If you want knowledge,especially scientific ones you have to take it using native English language then to your adopted language!

As a matter of learning,always native English speakers will have an edge!

Thats a FACT!

Sasa basi,shortcut tunayofanya,ni bilingualism walao English iwe second language from the mother tongue!

Tusiwe wabishi sana mzee!

Ndio maana unatafuta pesa sana mtoto wako aende International school ili bilingualism iwe more sophisticated zaidi ya kwako wewe mzazi wake ulipokua unasoma.

Ndio maana Tanzania kama taifa bado wameshindwa ku-shift to Kiswahili 100% 60 years letter,haiwezekani!

Tukienda humo mwa Kiswahili 100% then unajua athari yake?.....Matajiri wote na middle class yote watapeleka watoto wao English schools,then tunajenga taifa la class divisions ikiwa imekaziwa na lugha hapo hapo!
 
Back
Top Bottom