Hizi ni opinions za watu about Kenya na Tanzania. Non natives. Ni opinions, so dont catch feels guys


Wewe nae sijui kiazi...

Hiyo sio GDP PPP......

Hiyo ni GDP tu.....(Pato Ghafi)

Lazima ugawanye kwa idadi ya watu upate PPP......hapo ndio wanapotuzidi maana sisi lipopulation letu likubwa....

Tunajenga kipato tunagawana wengiiiiiii.....which make us below them in PPP....

Tuna idadi kubwa ya watu hawafanyi uzalishaji.

Kenya wenyewe wachache ila wanatoa pato ghafi kama letu ukigawanya unakuta mtu mmoja wa Kenya anapata mgao mzito zaidi ya mTZ!

Nenda tena kajifunze kusoma hizo data za WB!
 
Pumba zimeisha!! Leo hiii bongo vijana wana struggle kujiendesha kwenye private sector wewe unazungumzia kuteka soko la ajira kwenye organizations Africa
 
Waliona we nyang'au hawakutaka kuongea nawe! Hamna sehemu Tanzania hawaongei Kiswahili!
Acha unafiki wewe....

Nimetolea mfano kijiji changu hasa nachotoka...

Unaongelea kijiji changu na kukisemea unakijua?

Nakwambia ninajua watu kijijini kwangu hawaongei Kiswahili wala Kizungu,wenyewe wanajua Kichagga tu....

Hutaki andamana....

Case closed!
 
GDP PPP means Purchasing Power Parity. Mbona mimi nimesoma shule za Tanzania, za serikali na najua hilo? Yaani huji hilo halafu unabishana?
No, I know where the problem is .... Yourself.
Wyatt Mathewson
 
Pumba zimeisha!! Leo hiii bongo vijana wana struggle kujiendesha kwenye private sector wewe unazungumzia kuteka soko la ajira kwenye organizations Africa
Biashara binafsi haziajiri watu?

Au kampuni yako ni one man company?

Hiyo sio biashara,hiyo ni ajira sema umeamua kujilipa wewe mwenyewe tu!

Biashara mpaka iwe biashara,tunaita Bankable Business,lazima uajiri watu capable....

Katika soko la ajira most employable na human capital yao ni ya quality ya juu katika region yetu hii ni Wakenya na sababu zipo..

Kama unabisha utakua malaya mbovu tu mwenye visebengo.

Multinationals ni the most impactful companies,na nyingi wenzetu wanapata nafasi zaidi yetu sisi na sababu zipo.....

Hakuna mchawi.....

Tuboreshe mfumo wetu wa elimu tuwapite Kenya,tufanye social transformation watu wawe wachapakazi kuwazidi.....

Tunapata athari sana TZ.....Makampuni yote Tanzania kuna atleast Mkenya mmoja ndani anaefanya kazi aina fulani....in KE kuwakuta waTZ ni ngumu kwasababu we cant quietly cut it even hata kwa interview tu!

Hakuna short cut...

Unapoongelea hili suala kijuu juu namna hii unanishangaza sana!
 
GDP PPP means Purchasing Power Parity. Mbona mimi nimesoma shule za Tanzania, za serikali na najua hilo? Yaani huji hilo halafu unabishana?
No, I know where the problem is .... Yourself.
Wyatt Mathewson
Unanipa GDP badala ya kunipa PPP.....

Shule ulienda kusomea ujinga?

Hivi kwenye graph uliyonipa umenipa nini kwa akili yako ilivyo suspect?

Unajua wewe akili umeacha matakoni kabisa....!

Rudi kaiangalie ile graph hata sidhani kama unaielewa ile graph vizuri!
 
Ay antotado!
PPP stands for Purchasing Power Parity, not Per Capita.
Anything can be quoted per capita i.e divide by population.
Familia ya daktari anayeingiza millioni 100 na ana watoto 3 na mke, huwezi kufananisha na Afande wa polisi aliye peke yake na anaingiza milioni 20 kwa mwaka.
Daktari ata-afford needs zake easily ingawa per capita income yao ni sawa.
That's why China is richer than Seychelles even though Seychelles has almost double the per capita income of China. Because, China has a humongous GDP PPP (GROSS) compared to Seychelles.

Kwa hiyo, sikuongopa, wewe tu una matatizo ya kuelewa na unaamini unachotaka. But it's known that life is cheaper in Tanzania, as a result of a higher purchasing power of the Nation in general.
We are talking about basic amenities.
I don't just talk, I quote researches.
 
Bro Mimi najuah KISWAHILI tu kisukuma au lugha yoyote sifahamu

Baba angu hajui lugha yoyote zaidi ya KISWAHILI na kiingereza tu

Nikisema lugha mama KISWAHILI usiwashwe

Alaf endelea kuwa na mashaja na elimu yangu utapata ajira

Unatia huruma ujue, yaani unakiri kwamba hujui lugha nyingine ila Kiswahili halafu uandishi wako wa hicho hicho Kiswahili ni majanga, sasa utasaidiwa vipi, basi kama umeamua hutaki kujiongeza kwenye lugha nyingine boresha uandishi wako wa Kiswahili.
Hili ndilo tatizo la idadi kubwa ya Watanzania, wengi wamedumaa kwenye lugha moja ya Kiswahili lakini na chenyewe hawakitumii ipasavyo, janga la taifa.
 
Better run!
 
naona leo mchaga anawanyoosha wafuasi wa yule msukuma...bwahaaaa...
usijali...we wape ukwel..wakikataa waandamane..nimependa sana hyo...ndio manake wachaga wapo mombasa nairobi wanapambana vilivyo na biashara zao...hawajaliteka soko la jenya ila wanajaribu sana hawa jamaa..nawakubali tu...

wale vilaza wabaki kuendelea na kiswahili na uzalendo waone km wataipaisha nchi yao...bwahahaaaa
 
Ww jinga sikia siwezi poteza mda kuandika Kama unavyotaka
Nimezaliwa naongea KISWAHILI mpaka form 4 nimesoma KISWAHILI nkafaulu Sina haja ya kuandika kwa ufasaha Kama naandika ishu siliazi kumbe na bishana na watu ambao hata uwezo wao kufikiri na mashaka nao
 
MK254... mwenzako kasema haezi andika kiswahili fasaha katika ishu km hizi..labda awe katika ishu SILIAZI...

SILIAZI ni nn?...bwahahaa...bora akomae tu na kisukuma...manake kiswahili chenyewe kinampiga chenga ..alafu kiabaya zaidi jamaa wa english medium au wa kutoka kenya katika kampuni serious za bongo ndio atachukuliwa wa kwanza yeye atabaki na uzalendo wake tu akiwa (jobless)
 
Kama ni swala la Lugha
Je ktk East Africa nchi gani inaongoza kwa kuongea
1. Kiingereza
2. Kiswahili
 
Bahati nzuri nimetokea Kagera. Hao wote unaowataja wapo chini ya wahaya hata kabla ya uhuru ukiwatoa waganda ambao ni kama chimbuko la wahaya wenyewe. Wahaya walifikiwa na wamisionari mapema na kutokana na nature yao kusoma kukawa rahisi zaidi. Pia nina uhakika ni moja kati ya jamii zenye diaspora kubwa Tanzania na ndio maana mashirika makubwa huongozwa au kuwa na namba yao kubwa. Hili ni kutokana na nature yao ya kuthamini profession kuzidi business

Inshort upo biased sana na hili limeonekana hata katika hii comment japo umeitilia uvuguvugu ili ionekane kuwa haupo hivyo. Kuwahusisha jamii za kitanzania kuendelea kwao na nchi za jirani tena kama Uganda ni dhahiri unatudharau toka nafsini, issue ni moja. Yawezekana Watanzania baaadhi wapo ambitious sana na hukatishwa tamaa lakini hilo ni kawaida sehemu yoyote kwa mtu naeonekana kuwa above the average maybe Kenya na Tz tumetofautiana level ya hiyo "AVERAGE" ndio maana unaona kama big issue
 
Sio tunampa tabu,na yeye anajipa tabu pia.anakumbatia sana,uovu wa ccm.
Mwanzoni alkua juu ya chama,ila saivi kamezwa na chama.
Wanasema aliye juu,mngoje chini.upinzani unamngoja chini
 
Mzee kajifunze basic economics, anachokuambia na ulichojibu ni vitu viwili tofauti.

Nilikuquote lakini umeshindwa kureply ni kwa sababu hutaki illussions zako ziwe destructed.. guess kama ulivyosema umesomea sana Kenya na hiyo iliwapa njia ya kukuwekea mentality zao kwa nchi yako mwenyewe na from from your own comments nimejua wamekuambukiza mengi sana. Mzee all i can say, jifunze kuhusu nchi yako.
 
Nishafanya sana kazi na Wakenya lakini sijaona Mkenya HATA MMOJA wa kunishitua! NI wewe wanaokushitua hao Wakenya kutokana na insecurity uliyonayo kama ambavyo hao wazee wenu walivyokuwa wanakimbilia kupeleka watoto Kenya kusoma kwa kudhani kujua Kiingereza ndio elimu kabla hawajashituka kwamba, wakitoka kule, wanakuwa weupe tu! I remember wakati nipo St Anthony alikuja dogo mmoja! Pale wakampa sharti kama anataka kusoma pale basi arudi mwaka mmoja nyuma!

Hata hivyo, ikiwa unashindwa hata kutofautisha hata kati ya Purchasing Power Parity na GDP per capita, what else can we expect kutoka kwa mtu wa aina yako!! Namuunga mkono Kobello aliyesema tatizo hapo ni wewe personally!

Kwamba kwenye kampuni nyingi kuna angalau Mkenya mmoja ni understandable; one kwa sababu Kenya ili-adapt mixed economy from the beginning na hivyo kuwa na well established private sector ambao nao ndio hao wamekuja ku-invest TZ, na hivyo kwenye makampuni yao kuwepo Wakenya! Two, ndo kuna wale wanaodhani kujua Kiingereza ndo kuwa vizuri upstair wakati watu tumefanya kazi hata na waliosomea UK lakini unaishia kushangaa tu kwamba huyu mtu huko UK alienda kufanya nini hasa! Lakini wakija Bongo, ndio wanaopewa priority kwa kudhani kwavile wamesoma Ulaya basi watakuwa wanajua kila kitu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…