Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Hivi akili inapimwa kwa kujua kingereza?
Sio lazima.....ila acha kujua uone!
Emails za kikazi au kibiashra unaandika Kihaya?
Presentations na tenders unaandika Kisukuma?
Mbuzi wewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi akili inapimwa kwa kujua kingereza?
Kweli kuzaliwa na akili fupi ni kitu mbaya sana, wachina wanajibu vipi email za kikazi?Sio lazima.....ila acha kujua uone!
Emails za kikazi au kibiashra unaandika Kihaya?
Presentations na tenders unaandika Kisukuma?
Mbuzi wewe!
Who cheated you Chinese don't speak English?Kweli kuzaliwa na akili fupi ni kitu mbaya sana, wachina wanajibu vipi email za kikazi?
Who told you Tanzanian hawajui English?Who cheated you Chinese don't speak English?
Kweli kuzaliwa na akili fupi ni kitu mbaya sana, wachina wanajibu vipi email za kikazi?
It's good you have used the word "Tanzanian" and not "Tanzanians". I'm going to use you as a case study, I want you to reply the next six of my comments using English.Who told you Tanzanian hawajui English?
Who told you Tanzanian hawajui English?
Nimesoma kayumba na huniambii chochote kwa hiyo lugha unayoisifia mwehu wwWote wanaofanya presentations serious kwenye makamuni yote TZ ni Wakenya,unajua maana yake wewe mwehu?
Na B2B businesses zinapata biashara kwa 'presentations',proposals,demonstrations,tenders,etc....
Na wanaofanya kazi zote hizi kwenye makampuni yote TZ yaliyo serious ni "Wakenya"....hivi unajua maana yake hii?
Peleka mtoto wako Kayumba schools wenzako wanapeleka international schools halafu uone nani atapewa kazi!
Typical TZ mentality,ya kujifanya hujui dunia inaendaje,umejificha kwenye kibox chako mwenyewe unajidanganya!
Hatujui English compared to other people,namely Ugandans and Kenyans...
Is this even a debate?
Atleast we are bridging up the gap with explosion of international schools in TZ!
We should give it time,say 5-10yrs we will be at par!
Tatizo una unafiki sana kama mwanachama wa CCM....
Ondoa unazi,toa balanced obseravation wewe!
It's good you have used the word "Tanzanian" and not "Tanzanians". I'm going to use you as a case study, I want you to reply the next six of my comments using English.
Nimesoma kayumba na huniambii chochote kwa hiyo lugha unayoisifia mwehu ww
Hehehe, You have searched for all English words ukaamua uendelee tu kwa kiswahili.Sio kila mtu ni jobless kama ww
Mm sina chama na siongei kishabiki kama ww
Wewe ndio mshabiki...
Mnazi namba moja...huna objectivity....sijui kwanini huwezi kukubali kama mtu kakupita kitu fulani ili ujifunze uwe kama yeye au kumpita zaidi....
Unashika mavi,unaambiwa hayo ni mavi mpumbavu unaendelea kujitutumua eti sio mavi...
Such a colossal lack of common sense and sincerity!
Unabisha kama mwendawazimu!
Kenge maji wewe
Umegeukia personals!
Itakua kuna Mkenya anakukimbizeni sana hapo job kwenu basi una hasira sana!
Mkuu jifunze unakosea wapi..jirekebishe,jenga ubunifu na hard work mzee!
Hakuna shortcuts!
Ndio maana kila siku najifunza jambo jipya kwa hawa watu,nataka niwe bora kuwapita na sio kujenga chuki tu zisizo na maana!
Sijui sisi Watanzania hua tunakosea wapi.
Ndio ujinga kama wako huu unao uonesha humu...pretty low!
Una matatizo wewe!Nijifunze ujinga kama wako, never
[emoji23][emoji23][emoji23]nikimbizwe na mkenya my foot, hawa makenya majobless au? Wanaokesha mitandaoni kuwakejeli Watanzania, sahau
Sina chuki na mtu maana hata mke wangu anatokea kwao, ni huwezi ongelea upuuzi nchi yangu alafu nikukalie kimyaUna matatizo wewe!
Kwaa jinsi unavyongea inaonesha una chuki nao kali sana....Huenda kuna jambo mmoja wao kakufanyia!
Cha msingi pangusa matako and go practice then come back and offer your revenge!
Ndio maana katika line of business I'm in kila siku naangalia kama kuna Mganda au Mkenya who can out perform me...
Najifunza mbinu zao kila mara,hakuna haja ya kua na chuki za kikuma namna yako hiyo!
You have a long way to go aisee!
Pitia hapa na uache ujingaKwa joblessness,mbona takwimu rasmi zinasema otherwise?
Au una takwimu zako wewe binafsi?
Wote Uganda,TZ and Kenya tuna matatizo makubwa ya ajira,ila Kenya wana afadhali kidogo,then TZ then UG....
Cha msingi tujitahidi kujenga ajira sio kuua vibiashara kama wewe na Jiwe mnavyofanya eti mnawaita eti walikua wezi!
Hii criminalization ya business cadre ndio tunapoonesha ujuha wetu kama waTZ..
Sijui hivi kwanini tunapozungumzia mediocrity yeyote lazima TZ utuke hapo....can we change this nonsense?