Saudi Arabia ni nchi kame pamoja na kuingiza mahitaji yao yote ya chakula kutoka nje mfano ,Pakistan ikiwa na surplus ya Mchele bei inashuka Saudia kwasababu hiyo surplus inaboost rice reserves in Saudi a.
Hii yote ni kwa uwezo wao mkubwa kiuchumi /fedha wala sio msaada.
Pakistan wana ardhi yenye rutba pamoja na mvua na maji ya kutosha na hivyo kupelekea mavuno ziada ,pengine sio hata uweledi wao mkubwa bali ni mazingira tu inayowabeba.
Mnatia aibu sana wenzetu ,mshukuruni mna mnunuzi bure mgeishia kukosa hela za kuwezesha wakulima wenyu kulima misimu inayofuata.