Hizi ni opinions za watu about Kenya na Tanzania. Non natives. Ni opinions, so dont catch feels guys

Wanataka kuleta ukabila wao huku [emoji23][emoji23][emoji23]na nina wasiwasi yale makabila mawili ndo haya humu wanaongea ujinga
Ndo hao hao kaka wanashida sana ndugu zetu wanaweza kusema Tanzania iko kenya wakiwa abrod kwa kujisifia na vidata vyao vya rangi rangi.
 
Nime panic bro mnakera sana ujue.

Take it easy mzee.....

Hakuna haja ya kua na shouting match ya matusi namna hii mzee....

Mi nilitegemea utatutetea waTZ kwa hoja mujarabu ila nashangaa umevamia matusi like its nothing!

Duh,aisee nimecheka sana!
 
oe jamaaa nmependa sana hii mada yenu...kwel sometimes tunatakiwa pia tukielekezana panapotakiwa...si kila siku tunabishana tu na kuwekeana chuki...jf sasa inatakiwa iwe wala sio kushabikia nchi zetu kila kuchao na bado tuna mapungufu pande zote mbili
Uko sawa kabisa kaka nakuunga mkono.Mawazo mazuri sana
 
Ndo hao hao kaka wanashida sana ndugu zetu wanaweza kusema Tanzania iko kenya wakiwa abrod kwa kujisifia na vidata vyao vya rangi rangi.
Wengine wanaenda hadi kuichafua Tanzania kwenye forums zingine, sijui huwa wanafaidika na nini, yaani hata sehemu ambayo Tanzania haihusiki wataiweka tu kwa kuichafua, ukiwaambia ukweli wanaanza matusi,
 
Take it easy mzee.....

Hakuna haja ya kua na shouting match ya matusi namna hii mzee....

Mi nilitegemea utatutetea waTZ kwa hoja mujarabu ila nashangaa umevamia matusi like its nothing!

Duh,aisee nimecheka sana!
Relax bro nmepanic coz sio first time tunaongelea ili jambo sorry for everything
 
Yap, watu wabadilike
oe jamaaa nmependa sana hii mada yenu...kwel sometimes tunatakiwa pia tukielekezana panapotakiwa...si kila siku tunabishana tu na kuwekeana chuki...jf sasa inatakiwa iwe wala sio kushabikia nchi zetu kila kuchao na bado tuna mapungufu pande zote mbili
 
Wengine wanaenda hadi kuichafua Tanzania kwenye forums zingine, sijui huwa wanafaidika na nini, yaani hata sehemu ambayo Tanzania haihusiki wataiweka tu kwa kuichafua, ukiwaambia ukweli wanaanza matusi,
Ni hatar sana bro
 
mwenzenu ywaongea kw facts nynyinyi mmeanza kw mitusi..na wakati mk254 kasema mtanzania unatakiwa umbembeleze ndio mtaelewana..sasa chief sam km alichoongea ni uongo..ungelipinga kw hoja wala sio mitusi...

hicho ndicho mwenzenu alikuwa akikiongelea...yani mwanaume mzima unatoa mitusi..ndio manake wakenya tunapensa kuwaita wambea,wavivu..lkn km unaona nilichokiongea sio sahihi...njoo upinge kw hoja..ila ukinitusi pia ni poa
 
NIGHTMARE!!! (kenya is wealth than Tz)
1100353

Kujeni Tz Mchukue Mahindi ya njaa
🤣🤣🤣🤣🤣
 
mwenzenu ywaongea kw facts nynyinyi mmeanza kw mitusi..na wakati mk254 kasema mtanzania unatakiwa umbembeleze ndio mtaelewana..sasa chief sam km alichoongea ni uongo..ungelipinga kw hoja wala sio mitusi...

hicho ndicho mwenzenu alikuwa akikiongelea...yani mwanaume mzima unatoa mitusi..ndio manake wakenya tunapensa kuwaita wambea,wavivu..lkn km unaona nilichokiongea sio sahihi...njoo upinge kw hoja..ila ukinitusi pia ni poa
Why tz everyday by the way nime apologize mzee baba.lakini battl nyingi mnazianzisha huwa sisi tunaingilia coz hatupendi basi tu.naomba niishie hapa bro.
 
Hao walio comment kuwa Kenya ipo vizuri compare Tz all are men. It seems baada ya kufika Nai walipata Demu za Kikuyu, Kamba, Luo.
Wazungu vile wakinogewa na Ma-luv acha waisifie mpaka Kibera slums
🤔
 
Bro ni hii hii Tanzania wanayoisema eti watu wake wavivu [emoji23][emoji23][emoji23]
Saudi Arabia ni nchi kame pamoja na kuingiza mahitaji yao yote ya chakula kutoka nje mfano ,Pakistan ikiwa na surplus ya Mchele bei inashuka Saudia kwasababu hiyo surplus inaboost rice reserves in Saudi a.
Hii yote ni kwa uwezo wao mkubwa kiuchumi /fedha wala sio msaada.
Pakistan wana ardhi yenye rutba pamoja na mvua na maji ya kutosha na hivyo kupelekea mavuno ziada ,pengine sio hata uweledi wao mkubwa bali ni mazingira tu inayowabeba.
Mnatia aibu sana wenzetu ,mshukuruni mna mnunuzi bure mgeishia kukosa hela za kuwezesha wakulima wenyu kulima misimu inayofuata.
 
Eti tushukuru tuna mnunuzi, limeni na nyie tuone
 
Jobless bhana. Kila time "t' wapo kwenye mitandao kujipima ubavu na TZ.
Kama TZ haipendwi kwanini most of tourists wanaipatia mpunga wa kumwaga. Check here:

IMG_20190517_144929_838.jpg
 
Saudi Arabia ni nchi kame pamoja na kuingiza mahitaji yao yote ya chakula kutoka nje mfano ,Pakistan ikiwa na surplus ya Mchele bei inashuka Saudia kwasababu hiyo surplus inaboost rice reserves in Saudi a.
Hii yote ni kwa uwezo wao mkubwa kiuchumi /fedha wala sio msaada.
Pakistan wana ardhi yenye rutba pamoja na mvua na maji ya kutosha na hivyo kupelekea mavuno ziada ,pengine sio hata uweledi wao mkubwa bali ni mazingira tu inayowabeba.
Mnatia aibu sana wenzetu ,mshukuruni mna mnunuzi bure mgeishia kukosa hela za kuwezesha wakulima wenyu kulima misimu inayofuata.
Saudi & Pakistan remember are countries found in different continents ( Middle east & Asia) contrary to Kenya & Tz both are in the same Tropical ( East Africa) it means have the same Weather!!!
Tatizo la Kenya ni wamewatupa mkono Farmers. Not much efforts has been taken so far to boost Agriculture sector in Kenya. Politicians are much focus on Projects which have no direct impact to distitute people of Kenya. Kibaya zaidi wameshawasoma kuwa mnapenda sifa therefore "build them Flyovers; Tall buildings They will be happy indeed!!!"
Kenyans you need to understand your leaders.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] umetisha sana jibu zuri
 
Back
Top Bottom