Umesema wewe kwendana na ubongo wako unavyoona...
Na mimi nakuona hivyo hivyo....
Unaniona mavi na mimi nakuona mavi na wote tupo sahihi kwa mujibu wa katiba za bongo zetu binafsi.
Data hii hapa mzee na nimetoa worldbank angalia url kabisa:
View attachment 1100575
Wametupita karibu dollar 344.6USD.....
Halafu ulivyo mpumbavu na muongo na mzandiki kujifanya dishonest unadhani kusema tumelingana itatubadilishia chochote?
Unaona hatari sana kusema ukweli tukajitambua na kubadilika?
Mpumbavu wewe msema uongo...
Vijiwe ni wewe msema uongo na mzandiki kujitutumua kuongea as if unachosema ni cha kweli.
Sijui unaposema uongo ni ili ujisikie vizuri moyoni kwako au ni nini hasa?
Unapata faida gani hasa?
Tuache unafiki na kujikweza kusikokua na maana.