MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Acheni kwenda kufanya kazi za ndani Oman. Serikali ikiwazuia kwenda bado mtalalamika. Mitano tena kwa Mama Samia haikwepeki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is not trueHii nchi ina ujinga wa hajabu sana, wanaona Mtanzania akifia Uarabuni anastahili hicho kifo kwa saabu kafia nchi ya Kiarab, ukweli ni kwamba Watanzania wanaokwenda kufanya kazi za ndani wanateseka sana kule Uarabuni, Mwarab si mtu hata kidogo....nawashangaa Watanzania kuwasujudu. Wale ni wanyama toka enzi za Muddy na wanafahamika, hawawezi kubadilika hata iweje. Hii serikali ingekuwa makini ingekataza mara moja wananchi wake kwenda kufanya kazi za utumwa Uarabuni lakini wapi.
Mara kadhaa tunawasihi ndugu zetu...UARABUNI SI SEHEMU YA KWENDA.......Nikushauri hapa Enyi Serikali hivi vifo visivyoeleweka vya Watanzania wenzetu huko Nje ya Nchi, Muwe mnavifatilia, kila Nafsi ya Mtanzania iwe yenye thamani
Basi ikishindikana, tutumie Ujomba na Ushangazi basi .
Hizi ni Roho hai zinapotea, na sababu za kupoteza hazijulikan, zaidi ya Ndugu kuletewa Mwili kuzika tu.
Kwa Serikali madhubuti, makini, inayowajibikia Maisha ya watanzania ya Kila Mmoja Mmoja, Haiwezi kukubali Ujinga Huo !!.
Yaan kwann Watanzania ndio wafe huko kwao Kwa vifo visivyoeleweka ? Hapa Bongo hamna Wa Oman?
Hii Nchi Huwa Ina uajabu sana , Akifa Mgeni Kwa mazingira yasoeleweka, Uchunguzi utafanyika weeeeeeee kusumbua wananchi weeeeee mpaka basi.
Ila Mtanzania akifia Nje ,Kifo kisichoeleweka, hutosikia Serikali inajisumbua !!.
Hili linaweza likakushangaza , ila ndo Nchi Wanyama wanajaliwa kuliko Wananchi.
Baada ya haya yooote, Anapatikana Kijana Mmoja mjinga mjinga, maarufu, anazunguka Tanzania kuwaambia "Mitano tenaaa".
Serikali ni mtumishi sio mtawala90% ya decisions tunazo Fanya kila Siku hazihusiani na chama wala serikali
If you accept that…. Tutakua pazuri
Hongera Kwa kuwa na akili zaidi
Ukweli unauma. Ukiachana na mambo ya siasa (e.g. mitano tena..... )wale wanaokwenda huko ugenini kufanya kazi za ndani wanafuata utaratibu???Acheni kwenda kufanya kazi za ndani Oman. Serikali ikiwazuia kwenda bado mtalalamika. Mitano tena kwa Mama Samia haikwepeki.
Watanzania wengi wanafia huko na serikali haisemi loloteThis is not true
Hakuna anayestahili kufia popote ambapo hastahili
Death should be natural not kuuwawa
Mmarekani, muingereza, muisraeli, nk nk akifa nje ya nchi zao yawa patashika!Nikushauri hapa Enyi Serikali hivi vifo visivyoeleweka vya Watanzania wenzetu huko Nje ya Nchi, Muwe mnavifatilia, kila Nafsi ya Mtanzania iwe yenye thamani
Basi ikishindikana, tutumie Ujomba na Ushangazi basi.
Hizi ni Roho hai zinapotea, na sababu za kupoteza hazijulikani, zaidi ya ndugu kuletewa mwili kuzika tu.
Kwa Serikali madhubuti, makini, inayowajibikia Maisha ya Watanzania ya kila mmoja mmoja, haiwezi kukubali ujinga huo!
Yaani kwanini Watanzania ndio wafe huko kwao kwa vifo visivyoeleweka? Hapa Bongo hamna wa Oman?
Hii nchi huwa ina uajabu sana, akifa mgeni kwa mazingira yasoeleweka, Uchunguzi utafanyika weeeeeeee, kusumbua wananchi weeeeee mpaka basi. Ila Mtanzania akifia nje kifo kisichoeleweka, hutosikia Serikali inajisumbua!
Hili linaweza likakushangaza ila ndio Nchi ilivyo, wanyama wanajaliwa kuliko Wananchi!
Baada ya haya yooote, anapatikana kijana mmoja mjinga mjinga, maarufu, anazunguka Tanzania kuwaambia "Mitano tenaaa"!
Hilo jamaa ni tikiti maji na kipa katoka golini bure kabisa...Una akili sana brother maana rais wako anahusika na watanzania walio ndani ya nchi pekee na walioenda huko nje watajijua wenyewe.
Kwanza tunaweka balozi za nini kwenye hizo nchi wakati watanzania wenye haki za utanzania ni wale waliopo ndani ya Tanzania.
Hivyo balozi zetu ni useless, Si ni kheri tuzifute tu..
Hongera sana nimependa comment yako maana ni reflection halisi ya "akili kubwa" uliyonayo
Waende DRC Kongo huko wavaa suti na buti za kiwi zenye kungara wanaishi ktk maisha mazuri yenye raha chini ya M23. Huko John na Paulo wanasalimianaNchi za makobaz ziepukeni Malaria 2
Hii nchi ina ujinga wa hajabu sana, wanaona Mtanzania akifia Uarabuni anastahili hicho kifo kwa saabu kafia nchi ya Kiarab, ukweli ni kwamba Watanzania wanaokwenda kufanya kazi za ndani wanateseka sana kule Uarabuni, Mwarab si mtu hata kidogo....nawashangaa Watanzania kuwasujudu. Wale ni wanyama toka enzi za Muddy na wanafahamika, hawawezi kubadilika hata iweje. Hii serikali ingekuwa makini ingekataza mara moja wananchi wake kwenda kufanya kazi za utumwa Uarabuni lakini wapi.
Waende DRC Kongo huko wavaa suti na buti za kiwi zenye kungara wanaishi ktk maisha mazuri yenye raha chini ya M23. Huko John na Paulo wanasalimiana
Wacha ujinga we mtoto, toka lini mwarab akawa mtu mwema kwa mwafrika, wanabaguana wenyewe kwa wenyewe akupende wewe mwafrika kwa lipi?....umesoma historia ya nchi yako lakini au unajifaragua tu, unajuwa waarab waliwafanya nini mababu zetu? Nyinyi ndiyo mnaokubali kufilwa makusudi na waarab japo mnajuwa fika mnateswa. Mpuuzi sana wewe.Waarabu wengi wao ni watu wema, ila wazungu na mayahudi wamewaharibu na kuwakaririsha uongo, nanyi kama kawaida yenu kushutumu bila kufanya research.
Chuki chuki chuki, badilika!
Wacha ujinga we mtoto, toka lini mwarab akawa mtu mwema kwa mwafrika, wanabaguana wenyewe kwa wenyewe akupende wewe mwafrika kwa lipi?....umesoma historia ya nchi yako lakini au unajifaragua tu, unajuwa waarab waliwafanya nini mababu zetu? Nyinyi ndiyo mnaokubali kufilwa makusudi na waarab japo mnajuwa fika mnateswa. Mpuuzi sana wewe.