wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
KivipiAdui MKUBWA wa Tanzania na Watanzania wote ni CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KivipiAdui MKUBWA wa Tanzania na Watanzania wote ni CCM
Kwani Muddy alikuwa na dini, si alikuwa kafiri kabla ya kushukiwa na shetani au ulkuwa hujuwi? Kijana soma historia usikariri ujinga tu.
T
Naona mwarabu wabonyokwa umekuja ili utetee masta wako all Arabs don’t give a single s#it about you kazi kujipendekeza tu,,,Wafanyakaz wanaoenda nchi zote za kiarab kuanzia bahrain,Oman, Saudi,Kuwait ,Dubai wanaume zao wanawataka kimapenzi hao wafanyakaz wengine wanawake washakua watu wazima na ndio chanzo cha mateso ya hao wafanykaz
Don’t come we will not miss you by the way professional your very low compare to Asians that why we pay them more we don’t need you,your more troublemaker than benefits,T
Naona mwarabu wabonyokwa umekuja ili utetee masta wako all Arabs don’t give a single s#it about you kazi kujipendekeza tu,,,Wafanyakaz wanaoenda nchi zote za kiarab kuanzia bahrain,Oman, Saudi,Kuwait ,Dubai wanaume zao wanawataka kimapenzi hao wafanyakaz wengine wanawake washakua watu wazima na ndio chanzo cha mateso ya hao wafanykaz
Hiyo nchi ya Oman,ina watanzania wengi sana,hata huyo mfalme wa Oman,kazaliwa Tanzania na kiswahili kinaongelewa sana kule,ngoma za,kabila zote za kitanzania zinapigwa na kuchezwa,kwa nini hawa Watanzania ,wasiwe na umoja wao wa kujuana na kusaidiana?Shida ya watanzania wengi wao huamini bila kufanya research, hata uongo na uzushi wataamini tu
Kazi kukaa mitandaoni na kuwasema na kuwazushia waarabu tu, wayahudi weusi mna tabu sana.
Hiyo Oman,imejaa watanzania wengi tu,hata huyo mfalme wa huko kazaliwa Tanzania,Mufti wa Oman pia kazaliwa Tanzania mawaziri wapo wamezaliwa Tanzania,kiswahili huko ndio lugha ya pili,ngoma za,kienyeji za,makabila ya Tanzania na utamaduni wao,vyakula vya Tanzania ndio viko, masokoni,mpaka mawaziri wengi ni watanzania,kwa nini hawa Watanzania,hawaanzishi umoja wao wa kusaidiana na kujuana?JUKUMU MAMA KABISA LA SELIKALI YOYOTE DUNIANI NI ULINZI NA USALAMA KWA RAIA WAKE.
NARUDIA.
Jukumu kubwa kabisa la selikali yoyote Dumiani ni ulinzi na usalama kwa Raia wake.
Huko Oman,watanzania,ni wengi na wameshika nyazifa za,juu,kuanzia Mfalme,kazaliwa Tanzania,alikuwa,mchezaji mpira,kaondoka mkubwa wa umri,Mawaziri wapo wzmezaliwa Tanzania,makabila yote ya Tanzania yako kule,na,wamrzaana,mpaka nhoma za kitamaduni za Tanzania zipo kule.Kwa ni wasiwe na umoja wa,kusaidiana.Mpaka Mufti wa kule ni mtanzania.Mara kadhaa tunawasihi ndugu zetu...UARABUNI SI SEHEMU YA KWENDA.......
Tumia akili,Oman imejaa watanzania,watupu,kiswahili kule ndio lugha ya pili,ngoma za kabila za Tanzania zipo,lugha za makabila ya Tanzania ndio kwao,vyakula vya kitanzania ndio kwao.Mfalmr kazaliwa,Tanzania,Mufti mtanzania,wapo mawaziri wamezaliwa,Tznzania,kwa nini hwa wanaokwenda kule wasiwe na umoja,wa,kusaidiana?Unaamini mambo ya Muddy kuwa mtu mwema na firahuni ulikuwepo?
Huu ndio ukweli.Taarifa hii mbona haijaeleza idadi ya waliokufa na wamezikwa wapi,majina yao n.k .kwa kifupi ni maelezo yaliyo jaa chuki.
Fake newsNikushauri hapa Enyi Serikali hivi vifo visivyoeleweka vya Watanzania wenzetu huko Nje ya Nchi, Muwe mnavifatilia, kila Nafsi ya Mtanzania iwe yenye thamani
Basi ikishindikana, tutumie Ujomba na Ushangazi basi.
Hizi ni Roho hai zinapotea, na sababu za kupoteza hazijulikani, zaidi ya ndugu kuletewa mwili kuzika tu.
Kwa Serikali madhubuti, makini, inayowajibikia Maisha ya Watanzania ya kila mmoja mmoja, haiwezi kukubali ujinga huo!
Yaani kwanini Watanzania ndio wafe huko kwao kwa vifo visivyoeleweka? Hapa Bongo hamna wa Oman?
Hii nchi huwa ina uajabu sana, akifa mgeni kwa mazingira yasoeleweka, Uchunguzi utafanyika weeeeeeee, kusumbua wananchi weeeeee mpaka basi. Ila Mtanzania akifia nje kifo kisichoeleweka, hutosikia Serikali inajisumbua!
Hili linaweza likakushangaza ila ndio Nchi ilivyo, wanyama wanajaliwa kuliko Wananchi!
Baada ya haya yooote, anapatikana kijana mmoja mjinga mjinga, maarufu, anazunguka Tanzania kuwaambia "Mitano tenaaa"!
Heri kushitaki kwa netanyahu kidogo inaweza kusaidia selikali yake Ni sikivuHii nchi ina ujinga wa hajabu sana, wanaona Mtanzania akifia Uarabuni anastahili hicho kifo kwa saabu kafia nchi ya Kiarab, ukweli ni kwamba Watanzania wanaokwenda kufanya kazi za ndani wanateseka sana kule Uarabuni, Mwarab si mtu hata kidogo....nawashangaa Watanzania kuwasujudu. Wale ni wanyama toka enzi za Muddy na wanafahamika, hawawezi kubadilika hata iweje. Hii serikali ingekuwa makini ingekataza mara moja wananchi wake kwenda kufanya kazi za utumwa Uarabuni lakini wapi.
Naukiangalia vifo vingi au mateso wanaofanyiwa wafanyakazi wa ndani,mwanamke wa kiarabu lazima ausike,
Hatuna haja na kiswahili hakitufai chochote zaidi kusoma matusi yaoTumia akili,Oman imejaa watanzania,watupu,kiswahili kule ndio lugha ya pili,ngoma za kabila za Tanzania zipo,lugha za makabila ya Tanzania ndio kwao,vyakula vya kitanzania ndio kwao.Mfalmr kazaliwa,Tanzania,Mufti mtanzania,wapo mawaziri wamezaliwa,Tznzania,kwa nini hwa wanaokwenda kule wasiwe na umoja,wa,kusaidiana?
Wanakimbilia kwa wakristo wanaowaita makafiri na wakikaribishwa wanaanza kuleta mambo yao ya udini na akili za giza, Europę wanajuta kuwakaribisha hawa watuWatoto wa Mudi makatili sana sana sana
Hivi nyie Watz hao wenyewe tu wanakimbilia nchi za kikristo yaani hawataki kwenda kwao nyie ndio mnaenda