Hizi ni Roho hai zinapotea huko Oman na sababu za kupoteza hazijulikani zaidi ya ndugu kuletewa mwili kuzika!

This is not true

Hakuna anayestahili kufia popote ambapo hastahili

Death should be natural not kuuwawa
 
Mara kadhaa tunawasihi ndugu zetu...UARABUNI SI SEHEMU YA KWENDA.......
 
90% ya decisions tunazo Fanya kila Siku hazihusiani na chama wala serikali

If you accept that…. Tutakua pazuri

Hongera Kwa kuwa na akili zaidi
Serikali ni mtumishi sio mtawala

Lakini issue zote global au za macro level, serikali ndio yenye control na mbaya zaidi hivyo vitu viwili ndivyo vinaleta athari iwe positive ama negative katika micro level yaani maisha ya mwananchi wa kawaida..

Ukiongelea decision lazma uoneshe ni katika criteria ZIPI

Kwa sababu kila nchi duniani ina maskini na matajiri, watawala na watawaliwa kwa hiyo tofauti ya class mtu atakayokaa itakuwa influenced zaidi na personal efforts lakini pia individual decisions

Lakini kinachoamua overall standard ya maisha katika nchi flani, iwe kisiasa, kiuchumi ama kiteknolojia ni SERIKALI...

Nipo tayari kupokea mawazo kinzani 🙏🏽
 
Sasa kama mwarabu sio mtu na roho yake mbaya mbona mnajifunza Dini yake kwa lugha yake Tena wengine hata shule hawendi hawataki elimu ya formal education Wanataka elimu ahera?😅😅😅

Nina andika haya maana hata hao waarabu wanaosoma Hapa mnawachanganya. Ile Dini Inabeba utamaduni wao, lugha na mission Yao Duniani. Use brain at least.
 
Acheni kwenda kufanya kazi za ndani Oman. Serikali ikiwazuia kwenda bado mtalalamika. Mitano tena kwa Mama Samia haikwepeki.
Ukweli unauma. Ukiachana na mambo ya siasa (e.g. mitano tena..... )wale wanaokwenda huko ugenini kufanya kazi za ndani wanafuata utaratibu???
Serikali huwa inaridhia jambo hilo? Kama Serikali inakuzuia inakuonya au inakukataza lakini wewe unashupaza shingo unaenda tuu kana kwamba unajiweza peke yako halafu likitokea lakutokea unaigeukia Serikali na unaanza kulialia. Haukumbuki kwamba uliifanyia Serikali Insubordination??
You went there at your own risk bro. Sasa nayo Serikali inakuambia indirectly Komaa na hali yako i.e. komaa na kiburi chako - usitusumbue. Aliyekupeleka huko ndiye akurudishe hata ukiwa maiti.
 
Mmarekani, muingereza, muisraeli, nk nk akifa nje ya nchi zao yawa patashika!
Kwetu kama amekufa mende! Hata Lucas Mwashambwa hatoki machozi!
 
Kalipeni kisasi kwa Abbas Tarimba na ma agent wengine wanao wapeleka huko.

Magufuli alipiga marufuku huu utaratibu.

Uwa nawaona watanzania ambao wanamtukana Magufuli na ndio wachangiaji walio wengi humu JF ni mataahira (kuna taratibu za herd thinking humu). Fulani akisema wengine wanafuata.

Sasa mnalalamika nini, watu wamezuia haya mambo; mkasema anawakosesha watu fursa.

Uwezi laumu huyo binti aliekuwa na shida kwa kuongopewa na mtu kama Tarimba, genge la wahuni linalo wapeleka huko na serikali ya ‘bi-tozo’, worst kapeleka balozi mzanzibari huko ambae wanatuona wabara watwana.

Mbona wazanzibari awaendi kufanya hizo kazi huko, wanapeleka wabara (watwana) kwa mujibu wao.

Tanzania bara ina deserve kila kitu Samia anachofanya ni watu wa hovyo.

Ndio ukweli
 
Hilo jamaa ni tikiti maji na kipa katoka golini bure kabisa...
 

Waarabu wengi wao ni watu wema, ila wazungu na mayahudi wamewaharibu na kuwakaririsha uongo, nanyi kama kawaida yenu kushutumu bila kufanya research.


Chuki chuki chuki, badilika!
 
Waende DRC Kongo huko wavaa suti na buti za kiwi zenye kungara wanaishi ktk maisha mazuri yenye raha chini ya M23. Huko John na Paulo wanasalimiana

Hawa jamaa wanakera sana, Bora nikafie palestine 🇵🇸 kuliko kwa watu wasio na dini, hahaaaa
 
Waarabu wengi wao ni watu wema, ila wazungu na mayahudi wamewaharibu na kuwakaririsha uongo, nanyi kama kawaida yenu kushutumu bila kufanya research.


Chuki chuki chuki, badilika!
Wacha ujinga we mtoto, toka lini mwarab akawa mtu mwema kwa mwafrika, wanabaguana wenyewe kwa wenyewe akupende wewe mwafrika kwa lipi?....umesoma historia ya nchi yako lakini au unajifaragua tu, unajuwa waarab waliwafanya nini mababu zetu? Nyinyi ndiyo mnaokubali kufilwa makusudi na waarab japo mnajuwa fika mnateswa. Mpuuzi sana wewe.
 

Wakati wanateswa ulikuwepo?
 
Mwafrica ndugu yake ni Mwafrica mwenzake sio Muarabu, Mzungu, Mhindi wala mchina.

WaAfrica tupendane tuboreshe maisha yetu tuache kulazimisha undugu na wasiokuwa ndugu zetu.
 
Nataka kuongeza tu maarifa,
Hivi kuna sababu gani hasa ya msingi inayokupeleka huko ambako wenzio wanauwawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…