demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Tofauti na Makocha waliopita kama vile Didier Gomes na Patrick Aussems.
Ambaye alipofika tu alikutana na target za kwenye klabu ambazo ilikuwa ni lazima wazifikishe timu kwenye hatua fulani ya mafanikio kama vile Ubingwa wa Ligi Kuu & Nafasi za juu za CAFCL.
Huyu Pablo Franco hajawekewa vipengele vya malengo kabisa.. Zifuatazo ni sababu ambazo Simba SC wamezizingatia.
1. Klabu imeona haina maana kumuwekea malengo ya kuchukua Ligi ili hali msimu huu simba inakikosi dhaifu kushinda mahasimu wao Yanga.
2. Mwalimu ameonekana ana CV kubwa ila anachokikosa ni Uzoefu wa mpira wa kiafrika na changamoto zake. Hivyo haina sababu ya kumuwekea malengo.
3. Simba imegundua kuwa wanahitaji kumpa muda wa kutosha Mwl Pablo Franco wa kuijenga timu upya kupitia Mzamiru & Ajibu & Dilunga ambao wanategemewa kuwa mihimili ya Simba hapo baadaye.
4. Kosa la kuwauza Chama & Miqquisone. Baada ya uongozi wa Simba kugundua kuwa ulifanya kosa kuuza wachezaji wake muhimu imeamua kumpa nafasi ya kutosha kocha mpya ili aweze kuibua wachezaji wapya wenye sifa za kama wale walio ondoka.
5. Sababu ya mwisho ambayo inaeleza kwann simba haija muwekea malengo kocha mpya ni sababu za kimazingira na uhalisia wa ushindani kwenye Iigi msimuu huu, sio tu wahasimu wao wame improve drastically lakini pia wako katika kipindi cha mpito na pia kuongezeka kwa ushindani kutoka vilabu vingine.
Hivyo basi tusitarajie kuona Matunda ya Pablo Franco katika siku za usoni..Ni mwl ambaye anahitaji muda wa kutosha kama aliopewa Ole Gunner Solsker ili kuleta matunda.
Nadhani ndio maana amepewa mkayaba wa miaka 2 kama probation period ya kutazama maendeleo yake na timu yanaendaje.
Swali ni je? Mashabiki na wapenzi wa Simba SC wako tayari "Kusubiri"?