Hizi ni Sababu 5 za Kwanini Simba SC Hawajamuwekea Kipengele Cha Malengo Coach Pablo Franco

Tofauti na Makocha waliopita kama vile Didier Gomes na Patrick Aussems.

Ambaye alipofika tu alikutana na target za kwenye klabu ambazo ilikuwa ni lazima wazifikishe timu kwenye hatua fulani ya mafanikio kama vile Ubingwa wa LigiKuu & Nafasi za juu za CAFCL.

Huyu Pablo Franco hajawekewa vipengele vya malengo kabisa..Zifuatazo ni sababu ambazo Simba SC wamezizingatia.

1. Klabu imeona haina maana kumuwekea malengo ya kuchukua Ligi ili hali msimu huu simba inakikosi dhaifu kushinda mahasimu wao Yanga.

2. Mwalimu ameonekana ana CV kubwa ila anachokikosa ni Uzoefu wa mpira wa kiafrika na changamoto zake. Hivyo haina sababu ya kumuwekea malengo.

3. Simba imegundua kuwa wanahitaji kumpa muda wa kutosha Mwl Pablo Franco wa kuijenga timu upya kupitia Mzamiru & Ajibu & Dilunga ambao wanategemewa kuwa mihimili ya Simba hapo baadaye.

4. Kosa la kuwauza Chama & Miqquisone. Baada ya uongozi wa Simba kugundua kuwa ulifanya kosa kuuza wachezaji wake muhimu imeamua kumpa nafasi ya kutosha kocha mpya ili aweze kuibua wachezaji wapya wenye sifa za kama wale walio ondoka.

5. Sababu ya mwisho ambayo inaeleza kwann simba haija muwekea malengo kocha mpya ni sababu za kimazingira na uhalisia wa ushindani kwenye Iigi msimuu huu, sio tu wahasimu wao wame improve drastically lakini pia wako katika kipindi cha mpito na pia kuongezeka kwa ushindani kutoka vilabu vingine.

Hivyo basi tusitarajie kuona Matunda ya Pablo Franco katika siku za usoni..Ni mwl ambaye anahitaji muda wa kutosha kama aliopewa Ole Gunner Solsker ili kuleta matunda.

Nadhani ndio maana amepewa mkayaba wa miaka 2 kama probation period ya kutazama maendeleo yake na timu yanaendaje.

Swali ni je? Mashabiki na wapenzi wa Simba SC wako tayari "Kusubiri"?
utopolo ndiyo huu Sasa.
 
utopolo wapo active sana na mambo ya simba 😂😂😂
 
Utopolo at its BEST[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kusema ilikua ni kosa kuwauza kina Chama sidhani kama ni sahihi. Nadhani ni makosa pia kubania wachezaji fursa ya kukua kiuchezaji na kimapato kwa kujiunga na vilabu vikubwa zaidi

Kwa mfano Simba wangetaka kumbakisha Miquisonne ingebidi wampe mshahara mara nane au kumi wa ule aliokua anapata kama ambavyo anaupata Al Ahly!!!

Hili lingefanyika lingekua ni mzigo kwa Simba na pia lingeleta uwiano mbaya wa viwango vya mishahara kati ya wachezaji na lingekua na athari mbaya kwa umoja wa timu

Naweza kukubaliana na sababu zako zingine za kwanini Pablo hajawekewa malengo(kama kweli hakawekewa). Lakini sio sababu number 4
Hivi timu inapombania mchezaji kuondoka kama Yanga walivyombania Ngasa huwa inaleta faida yoyote Kwa timu zaidi ya kumfanya mchezaji acheze chini ya kiwango?
 
Aliye jirani na huyu Demigod.....
Ampokonye mkanda au chochote kinachoweza fanikisha kujinyonga.
 
Yanga mwaka huu Itashinda Mechi zote Zilizobaki na Kuwa Bingwa...
Tayari Mbinu zimeshapangwa hutaji Unaacha...
YAnga bingwa 2021/2022
Na Tukikutana Na Simba Atakula Goli zaidi ya 2 na Point 3.
YAnga tuna Msemaji wetu ambae anatupa Mbinu bora kabisa 100%za Nje ya Uwanja.
Kwa haki au Ghiliba Lazima YAnga ichukue ubingwa mwaka huu
Na Tutawafitini Thimba mechi zao wafungwe...[emoji12]
Au wana Yanga Mnasemaje?[emoji3516][emoji123][emoji41][emoji2957][emoji851]
Daima mbele nyuma mwiko
 
Tofauti na Makocha waliopita kama vile Didier Gomes na Patrick Aussems.

Ambaye alipofika tu alikutana na target za kwenye klabu ambazo ilikuwa ni lazima wazifikishe timu kwenye hatua fulani ya mafanikio kama vile Ubingwa wa LigiKuu & Nafasi za juu za CAFCL.

Huyu Pablo Franco hajawekewa vipengele vya malengo kabisa..Zifuatazo ni sababu ambazo Simba SC wamezizingatia.

1. Klabu imeona haina maana kumuwekea malengo ya kuchukua Ligi ili hali msimu huu simba inakikosi dhaifu kushinda mahasimu wao Yanga.

2. Mwalimu ameonekana ana CV kubwa ila anachokikosa ni Uzoefu wa mpira wa kiafrika na changamoto zake. Hivyo haina sababu ya kumuwekea malengo.

3. Simba imegundua kuwa wanahitaji kumpa muda wa kutosha Mwl Pablo Franco wa kuijenga timu upya kupitia Mzamiru & Ajibu & Dilunga ambao wanategemewa kuwa mihimili ya Simba hapo baadaye.

4. Kosa la kuwauza Chama & Miqquisone. Baada ya uongozi wa Simba kugundua kuwa ulifanya kosa kuuza wachezaji wake muhimu imeamua kumpa nafasi ya kutosha kocha mpya ili aweze kuibua wachezaji wapya wenye sifa za kama wale walio ondoka.

5. Sababu ya mwisho ambayo inaeleza kwann simba haija muwekea malengo kocha mpya ni sababu za kimazingira na uhalisia wa ushindani kwenye Iigi msimuu huu, sio tu wahasimu wao wame improve drastically lakini pia wako katika kipindi cha mpito na pia kuongezeka kwa ushindani kutoka vilabu vingine.

Hivyo basi tusitarajie kuona Matunda ya Pablo Franco katika siku za usoni..Ni mwl ambaye anahitaji muda wa kutosha kama aliopewa Ole Gunner Solsker ili kuleta matunda.

Nadhani ndio maana amepewa mkayaba wa miaka 2 kama probation period ya kutazama maendeleo yake na timu yanaendaje.

Swali ni je? Mashabiki na wapenzi wa Simba SC wako tayari "Kusubiri"?
makolo hayapo tayari kusubiri
 
Yanga mwaka huu Itashinda Mechi zote Zilizobaki na Kuwa Bingwa...
Tayari Mbinu zimeshapangwa hutaji Unaacha...
YAnga bingwa 2021/2022
Na Tukikutana Na Simba Atakula Goli zaidi ya 2 na Point 3.
YAnga tuna Msemaji wetu ambae anatupa Mbinu bora kabisa 100%za Nje ya Uwanja.
Kwa haki au Ghiliba Lazima YAnga ichukue ubingwa mwaka huu
Na Tutawafitini Thimba mechi zao wafungwe...[emoji12]
Au wana Yanga Mnasemaje?[emoji3516][emoji123][emoji41][emoji2957][emoji851]
Daima mbele nyuma mwiko
Una manisha ule mwiko aliousokomeza ndani Thadeo Lwanga au

058FF48B-81CE-4DA2-BE4A-3CF6F340E2A9.jpeg
 
Yeye pia taarifa ya kocha mpya wa Simba imemshtua [emoji23][emoji23]
1636294684978.jpg
 
hizi mechi chache za ya YANGA tayari watu washalewa...!!
Siamini sana... tusubiri tuone
 
Tofauti na Makocha waliopita kama vile Didier Gomes na Patrick Aussems.

Ambaye alipofika tu alikutana na target za kwenye klabu ambazo ilikuwa ni lazima wazifikishe timu kwenye hatua fulani ya mafanikio kama vile Ubingwa wa Ligi Kuu & Nafasi za juu za CAFCL.

Huyu Pablo Franco hajawekewa vipengele vya malengo kabisa.. Zifuatazo ni sababu ambazo Simba SC wamezizingatia.

1. Klabu imeona haina maana kumuwekea malengo ya kuchukua Ligi ili hali msimu huu simba inakikosi dhaifu kushinda mahasimu wao Yanga.

2. Mwalimu ameonekana ana CV kubwa ila anachokikosa ni Uzoefu wa mpira wa kiafrika na changamoto zake. Hivyo haina sababu ya kumuwekea malengo.

3. Simba imegundua kuwa wanahitaji kumpa muda wa kutosha Mwl Pablo Franco wa kuijenga timu upya kupitia Mzamiru & Ajibu & Dilunga ambao wanategemewa kuwa mihimili ya Simba hapo baadaye.

4. Kosa la kuwauza Chama & Miqquisone. Baada ya uongozi wa Simba kugundua kuwa ulifanya kosa kuuza wachezaji wake muhimu imeamua kumpa nafasi ya kutosha kocha mpya ili aweze kuibua wachezaji wapya wenye sifa za kama wale walio ondoka.

5. Sababu ya mwisho ambayo inaeleza kwann simba haija muwekea malengo kocha mpya ni sababu za kimazingira na uhalisia wa ushindani kwenye Iigi msimuu huu, sio tu wahasimu wao wame improve drastically lakini pia wako katika kipindi cha mpito na pia kuongezeka kwa ushindani kutoka vilabu vingine.

Hivyo basi tusitarajie kuona Matunda ya Pablo Franco katika siku za usoni..Ni mwl ambaye anahitaji muda wa kutosha kama aliopewa Ole Gunner Solsker ili kuleta matunda.

Nadhani ndio maana amepewa mkayaba wa miaka 2 kama probation period ya kutazama maendeleo yake na timu yanaendaje.

Swali ni je? Mashabiki na wapenzi wa Simba SC wako tayari "Kusubiri"?

Inaonesha ni namna gani una uelewa mdogo ktk sekta ya ajira

Yaani uajiri mtu kwenye taasisi alafu usimpe malengo ya timu!???

Stori kama hizi péleka jukwaa la utani au vijiwe vya bange
 
Utopolo hamna timu, mechi ijayo na Namungo wanapigwa...hala wanaanza zile sare sare zao. Kwishney
 
Back
Top Bottom