Hizi ni sababu tatu kubwa CCM itaongoza milele

Getrude Mollel

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2022
Posts
270
Reaction score
362
Ni kweli lengo kubwa la chama chochote cha siasa duniani ni kushika dola. Ukweli mchungu kwenye hili ni kwamba kwa hapa kwetu Tanzania, bado sikioni hata chama kimoja kati ya vyama vyote 18 ukitoka CCM, ambacho kina msuli wa kuongoza dola.

Zipo sababu kadhaa ambazo kwa maoni yangu, naziona kama sababu ambazo itaifanya CCM itawale milele na milele.

1. Rasilimali
Hili hakuna ambaye hajui kwamba CCM ina mali nyingi sana zinakadiriwa kufikia thamani ya Tsh trilioni 1 za Kitanzania, sidhani kama kuna chama chochote chenye hata theluthi ya utajiri wa CCM.

Uhai wa chama ni rasilimali ilizonazo, dunia ya leo unahitaji fedha kufanya kila kitu. Ili kuwa na chama imara unahitaji mikutano, mitandao ya kijamii, teknolojia na hata washauri wa masuala ya siasa ambapo mambo yote haya yanahitaji fedha nyingi. Vyama vingine hapa nchini dhooful-hal, hawana kitu wanaunga unga hadi fedha za kufanyia mikutano. Hii sio rocket science kushindwa kuelewa kwamba hakuna uhai wa chama kama hakuna fedha.

2. Uzoefu
Hakuna chama kina uzoefu mkubwa wa kuongoza serikali kama Chama cha Mapinduzi. Ukiona taasisi kubwa ya chama cha siasa kama CCM iko madarakani kwa zaidi ya miaka 60, ujue imeshafanya makosa mengi sana, maana yake imejifunza sana kutokana na makosa hayo.

Unajua kwanini kati ya vyama vyote ya ukombozi kusini mwa Jangwa la Sahara vilikubaliana kujenga chuo cha uongozi Tanzania? Hii mada ya siku nyingine.

Nchi zote hizi za Kusini mwa Jangwa la Sahara, CCM ni maarufu kuliko Tanzania. Kuna wazee ndani ya CCM wanaijua siasa nje ndani, wanazijua fitna zote za siasa, na hata wazee hao wamehusika kuunda vyama vya siasa vya upinzani ambavyo wengi wenu, leo hii mnajivunia kuwa humo, sawa.

Uzoefu wa CCM kwenye siasa za Tanzania kwenye kila kitu ni kigezo ambacho kitaifanya CCM kutawala milele na milele.

3. Connection za Kimataifa
CCM ni chama rafiki wa nchi kama China, Urusi, Cuba na nchi nyingine nyingi tu kubwa la bara Ulaya, Asia na America Kusinia. Hizi nchi zina mchango mkubwa sana kwenye kuifanya CCM kusalia madarakani. Hizi nchi zinakisaidia chama kwa mambo mengi sana, kiteknolojia, kifedha na mambo mengi mengi. Vyama vingine pia tunajua vina marafiki huko nje, bahati ndani njaa na nje njaa.

Hizo ndio sababu kubwa tatu, ingawa ziko nyingi. Kwanini sijaweka sababu ya wanachama? Kwa sababu, wanachama ni sawa na 'Dependent Variable', yaani kuongezeka au kupungua kwake kunategemeana na 'Independent Variable'. Wanachama unaweza usiwe nao leo, ila ukifika wakati wa uchaguzi ukawapata wengi sana. Ukiona chama chako kina watu wengi usipate moyo kwamba unaweza kushika dola, bila fedha, marafiki na uzoefu, unajidanganya.
 
Getrude kama Getrude, mtoto wa mjini huko Twitter, ambaye mishipa ya damu yako inatiririsha nembo na bendera za CCM.

Huku kila ilifanyalo CCM , Ukiwa active kuuhabarisha umma,taarifa zinafika Hadi sehemu zisizoweza kufikika .
 
Vyombo vya dola tu vinavyotetemekea fadhila ya teuzi kutoka kwa rais wa Tanzania ambaye mara nyingi huwa ni CCM ndio nguzo pekee ya CCM kuendelea kukaa madarakani kwa shuruti.

Hakuna zaidi ya mbeleko ya vyombo vya dola. Siku vyombo vya dola vitajutambua,na watanzania uoga utawatoka, ndio itakuwa mwisho wa kuongozwa na chama cha majizi ya kura.
 
Hivi mnatumia vichwa kweli kufikiri?
20220715_201048.jpg
 
Shauri serikali ipunguze deni la taifa na ajira kwa vijana , mambo ya kutawala milele huyajui ya kesho.
 
Kila tawala ina zama zake ...hakuna kitu kilichoundwa na binadamu kikaishi milele hakuna . .. mawazo kama hayo ni ya machawa waliozea kuishi kwenye uchafu wa ccm ...na ni mawazo ya kipumbavu tu
 
Km CCM itaweza kujenga shule za kisasa na maabara za kisasa kwenye mji wa Kilwa na kuboresha huduma za kijamii wanafunzi wa Kilwa wakasoma kwenye Shule na madarasa yenye hadhi ya million 100 mpaka 150 km ilivyo mikoa mingine ya Kilimanjaro, Geita na Simiyu, basi naomba CCM ipewe miaka mingine 1000 ya kuongoza nchi kinyume na hapo, mbunge wa Kilwa na wawakilishi wengine najua mnapita hapa na mnasoma hii comment
 
Ni kweli CCM ina nafasi ya kuendelea kuitawala Tanzania kwa muda mrefu lakini sio milele, kwa kuwa kuna sababu nyingi ndani ya Watanzania zinazo warahisishia CCM kufanya hivyo.
 
Ni kweli lengo kubwa la chama chochote cha siasa duniani ni kushika dola. Ukweli mchungu kwenye hili ni kwamba kwa hapa kwetu Tanzania, bado sikioni hata chama kimoja kati ya vyama vyote 18 ukitoka CCM, ambacho kina msuli wa kuongoza dola.

Zipo sababu kadhaa ambazo kwa maoni yangu, naziona kama sababu ambazo itaifanya CCM itawale milele na milele.

1. Rasilimali
Hili hakuna ambaye hajui kwamba CCM ina mali nyingi sana zinakadiriwa kufikia thamani ya Tsh trilioni 1 za Kitanzania, sidhani kama kuna chama chochote chenye hata theluthi ya utajiri wa CCM.

Uhai wa chama ni rasilimali ilizonazo, dunia ya leo unahitaji fedha kufanya kila kitu. Ili kuwa na chama imara unahitaji mikutano, mitandao ya kijamii, teknolojia na hata washauri wa masuala ya siasa ambapo mambo yote haya yanahitaji fedha nyingi. Vyama vingine hapa nchini dhooful-hal, hawana kitu wanaunga unga hadi fedha za kufanyia mikutano. Hii sio rocket science kushindwa kuelewa kwamba hakuna uhai wa chama kama hakuna fedha.

2. Uzoefu
Hakuna chama kina uzoefu mkubwa wa kuongoza serikali kama Chama cha Mapinduzi. Ukiona taasisi kubwa ya chama cha siasa kama CCM iko madarakani kwa zaidi ya miaka 60, ujue imeshafanya makosa mengi sana, maana yake imejifunza sana kutokana na makosa hayo.

Unajua kwanini kati ya vyama vyote ya ukombozi kusini mwa Jangwa la Sahara vilikubaliana kujenga chuo cha uongozi Tanzania? Hii mada ya siku nyingine.

Nchi zote hizi za Kusini mwa Jangwa la Sahara, CCM ni maarufu kuliko Tanzania. Kuna wazee ndani ya CCM wanaijua siasa nje ndani, wanazijua fitna zote za siasa, na hata wazee hao wamehusika kuunda vyama vya siasa vya upinzani ambavyo wengi wenu, leo hii mnajivunia kuwa humo, sawa.

Uzoefu wa CCM kwenye siasa za Tanzania kwenye kila kitu ni kigezo ambacho kitaifanya CCM kutawala milele na milele.

3. Connection za Kimataifa
CCM ni chama rafiki wa nchi kama China, Urusi, Cuba na nchi nyingine nyingi tu kubwa la bara Ulaya, Asia na America Kusinia. Hizi nchi zina mchango mkubwa sana kwenye kuifanya CCM kusalia madarakani. Hizi nchi zinakisaidia chama kwa mambo mengi sana, kiteknolojia, kifedha na mambo mengi mengi. Vyama vingine pia tunajua vina marafiki huko nje, bahati ndani njaa na nje njaa.

Hizo ndio sababu kubwa tatu, ingawa ziko nyingi. Kwanini sijaweka sababu ya wanachama? Kwa sababu, wanachama ni sawa na 'Dependent Variable', yaani kuongezeka au kupungua kwake kunategemeana na 'Independent Variable'. Wanachama unaweza usiwe nao leo, ila ukifika wakati wa uchaguzi ukawapata wengi sana. Ukiona chama chako kina watu wengi usipate moyo kwamba unaweza kushika dola, bila fedha, marafiki na uzoefu, unajidanganya.
NI KICHAA TU NDIO ATAWAZA HIVYO HATA MAGUFULI ALUWAZA KUWA AKIONDOKA HAKUNA WA KUKAMILISHA MIRADI YAKE
 
Mmmmm
 
Ongeza ya nne: RASILIMALI WATU. Hii kwa Kinyamwezi huitwa strength in dep WazalendoNani aliamini kuwa mtu anaweza kumrithi Mwalimu? Baadaye aliamini nani ndani ya CCM angemshinda Lowassa wa UKAWA? Baadaye Magu akafa: nani aliamini tutabaki salama? Nani angeamini atapatikana wa kumrithi? Lakini embu jiulize ukiwatoa wale Waarabu wa ACT WAZALENDO si ndio hatma? Na Lipumba? Mbowe karibu anafyeka 50 years tangu nuktiparry
 
Back
Top Bottom