Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa namna askofu Gwajima alivyotoa ,kueneza na kusambaza Maneno ,kauli na matamshi yake kutoka kwenye kinywa chake. Ni ngumu sana kuachwa hivi hivi bila au pasipo kufunguliwa Mashitaka ya Uchochezi . Kwa sababu ametoa maneno na matamshi yenye kuleta uchonganishi na yenye kuchochea wananchi kuichukia serikali yao.
Ametoa maneno na kauli zenye kujenga chuki vifuani pa wananchi na hata kuweza kusababisha vurugu na machafuko , kutokana na kauli na meneno yake yenye kuonyesha na kuleta Taswira au picha ya kuhusisha matukio ya utekeji na kikundi ambacho kwa mdomo wake alisema kuwa kina ngtuvu na kupewa nguvu kutoka juu ambako hata wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wanaogopa kukigusa.
Lakini askofu Gwajima Ameleta maneno ya uchonganishi Mkubwa sana kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama na Mamlaka ya uteuzi. Jambo ambalo linaweza kuleta chuki na vinyongo kwa askari na wanajeshi wetu kutokana na maneno ya uzushi ,uongo na uchonganishi yaliyotolewa na askofu Gwajima. Kwa maslahi yake binafsi .
Hivyo anapaswa kukamatwa haraka ,kuhojiwa , kufikishwa mahakamani na kufunguliwa Mashitaka ya Uchochezi ili aweze kujibu. Hapaswi kufumbiwa macho aendelee kuligawa Taifa,kuleta uchonganishi, uchochezi,kujenga chuki na kusambaza uongo hapa Nchini.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Utakufa vibaya wewe !!!Ndugu zangu Watanzania,

Kweli senge kama hili lilitakiwa liishie chooni tu.Uzazi wa mpango ni muhimu sana.
Tulishakuonya mara nyingi juu ya maandiko na msimamo wako umekataa maonyo..naamini uko tayari kwa yanayokuja mbele yako.Ndugu zangu Watanzania,
Kwa namna askofu Gwajima alivyotoa ,kueneza na kusambaza Maneno ,kauli na matamshi yake kutoka kwenye kinywa chake. Ni ngumu sana kuachwa hivi hivi bila au pasipo kufunguliwa Mashitaka ya Uchochezi . Kwa sababu ametoa maneno na matamshi yenye kuleta uchonganishi na yenye kuchochea wananchi kuichukia serikali yao.
Ametoa maneno na kauli zenye kujenga chuki vifuani pa wananchi na hata kuweza kusababisha vurugu na machafuko , kutokana na kauli na meneno yake yenye kuonyesha na kuleta Taswira au picha ya kuhusisha matukio ya utekeji na kikundi ambacho kwa mdomo wake alisema kuwa kina ngtuvu na kupewa nguvu kutoka juu ambako hata wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wanaogopa kukigusa.
Lakini askofu Gwajima Ameleta maneno ya uchonganishi Mkubwa sana kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama na Mamlaka ya uteuzi. Jambo ambalo linaweza kuleta chuki na vinyongo kwa askari na wanajeshi wetu kutokana na maneno ya uzushi ,uongo na uchonganishi yaliyotolewa na askofu Gwajima. Kwa maslahi yake binafsi .
Hivyo anapaswa kukamatwa haraka ,kuhojiwa , kufikishwa mahakamani na kufunguliwa Mashitaka ya Uchochezi ili aweze kujibu. Hapaswi kufumbiwa macho aendelee kuligawa Taifa,kuleta uchonganishi, uchochezi,kujenga chuki na kusambaza uongo hapa Nchini.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ingekua ni ile Jamiiforums kabla ya 2015, huu uzi mods wangekua washaufuta na unapigwa ban ya miezi 6 kutoshiriki chochote hapa JF. Mods siku hizi wanaacha wagonjwa wa akili kama wewe kuendelea kupost kila siku.Ndugu zangu Watanzania,
Kwa namna askofu Gwajima alivyotoa ,kueneza na kusambaza Maneno ,kauli na matamshi yake kutoka kwenye kinywa chake. Ni ngumu sana kuachwa hivi hivi bila au pasipo kufunguliwa Mashitaka ya Uchochezi . Kwa sababu ametoa maneno na matamshi yenye kuleta uchonganishi na yenye kuchochea wananchi kuichukia serikali yao.
Ametoa maneno na kauli zenye kujenga chuki vifuani pa wananchi na hata kuweza kusababisha vurugu na machafuko , kutokana na kauli na meneno yake yenye kuonyesha na kuleta Taswira au picha ya kuhusisha matukio ya utekeji na kikundi ambacho kwa mdomo wake alisema kuwa kina ngtuvu na kupewa nguvu kutoka juu ambako hata wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wanaogopa kukigusa.
Lakini askofu Gwajima Ameleta maneno ya uchonganishi Mkubwa sana kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama na Mamlaka ya uteuzi. Jambo ambalo linaweza kuleta chuki na vinyongo kwa askari na wanajeshi wetu kutokana na maneno ya uzushi ,uongo na uchonganishi yaliyotolewa na askofu Gwajima. Kwa maslahi yake binafsi .
Hivyo anapaswa kukamatwa haraka ,kuhojiwa , kufikishwa mahakamani na kufunguliwa Mashitaka ya Uchochezi ili aweze kujibu. Hapaswi kufumbiwa macho aendelee kuligawa Taifa,kuleta uchonganishi, uchochezi,kujenga chuki na kusambaza uongo hapa Nchini.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
wakuteke wewe wakakubake kwanza matako yakoNdugu zangu Watanzania,

Mpo ccm lakini bado hamjamjua Gwajima ni nani.Hajaongea kiutani anamaanisha kabisa hapo mama hatoboi.Ndugu zangu Watanzania,

Yaani kwa hili, hata mimi [mwananchi wa kawaida kabisa] naichukia sana na mno serikali hii inayotawala isivyo halali, isiyo na ridhaa ya wananchi kwa kuwa waliiba kura na uchaguzi mwaka 2020...Ndugu zangu Watanzania,
Kwa namna askofu Gwajima alivyotoa ,kueneza na kusambaza Maneno ,kauli na matamshi yake kutoka kwenye kinywa chake. Ni ngumu sana kuachwa hivi hivi bila au pasipo kufunguliwa Mashitaka ya Uchochezi . Kwa sababu ametoa maneno na matamshi yenye kuleta uchonganishi na yenye kuchochea wananchi kuichukia serikali yao.
Hizo chuki za wananchi kwa serikali hii ovu, zilikiwepo. Na Sasa Katia kiberiti kwenye petrol kwa kuanzisha vita kati ya UKRISTO vs UISLAMU...!Ametoa maneno na kauli zenye kujenga chuki vifuani pa wananchi na hata kuweza kusababisha vurugu na machafuko , kutokana na kauli na meneno yake yenye kuonyesha na kuleta Taswira au picha ya kuhusisha matukio ya utekeji na kikundi ambacho kwa mdomo wake alisema kuwa kina ngtuvu na kupewa nguvu kutoka juu ambako hata wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wanaogopa kukigusa.
Hawa wakuu wa vyombo vya usalama ndiyo waliomtuma awasemee. Wamechoshwa kupelekeshwa na kutumiwa na wanasiasa uchwara wa CCM kwa kitisho cha "ukikataa, utatoka kwenye nafasi yako"Lakini askofu Gwajima Ameleta maneno ya uchonganishi Mkubwa sana kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama na Mamlaka ya uteuzi. Jambo ambalo linaweza kuleta chuki na vinyongo kwa askari na wanajeshi wetu kutokana na maneno ya uzushi ,uongo na uchonganishi yaliyotolewa na askofu Gwajima. Kwa maslahi yake binafsi .
It won't help anything...Hivyo anapaswa kukamatwa haraka ,kuhojiwa , kufikishwa mahakamani na kufunguliwa Mashitaka ya Uchochezi ili aweze kujibu. Hapaswi kufumbiwa macho aendelee kuligawa Taifa,kuleta uchonganishi, uchochezi,kujenga chuki na kusambaza uongo hapa Nchini.
Mama yenu amefika mwisho wa kuvumiliwa.Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Hatoshi bali anatosheleza matumbo yenu tu chawa nyie;Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.