Hizi ni sababu za kwanini Askofu Gwajima anatakiwa kukamatwa na kufunguliwa mashitaka ya uchochezi

We
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa namna askofu Gwajima alivyotoa ,kueneza na kusambaza Maneno ,kauli na matamshi yake kutoka kwenye kinywa chake. Ni ngumu sana kuachwa hivi hivi bila au pasipo kufunguliwa Mashitaka ya Uchochezi . Kwa sababu ametoa maneno na matamshi yenye kuleta uchonganishi na yenye kuchochea wananchi kuichukia serikali yao.

Ametoa maneno na kauli zenye kujenga chuki vifuani pa wananchi na hata kuweza kusababisha vurugu na machafuko , kutokana na kauli na meneno yake yenye kuonyesha na kuleta Taswira au picha ya kuhusisha matukio ya utekeji na kikundi ambacho kwa mdomo wake alisema kuwa kina ngtuvu na kupewa nguvu kutoka juu ambako hata wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wanaogopa kukigusa.

Lakini askofu Gwajima Ameleta maneno ya uchonganishi Mkubwa sana kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama na Mamlaka ya uteuzi. Jambo ambalo linaweza kuleta chuki na vinyongo kwa askari na wanajeshi wetu kutokana na maneno ya uzushi ,uongo na uchonganishi yaliyotolewa na askofu Gwajima. Kwa maslahi yake binafsi .

Hivyo anapaswa kukamatwa haraka ,kuhojiwa , kufikishwa mahakamani na kufunguliwa Mashitaka ya Uchochezi ili aweze kujibu. Hapaswi kufumbiwa macho aendelee kuligawa Taifa,kuleta uchonganishi, uchochezi,kujenga chuki na kusambaza uongo hapa Nchini.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe ni kati ya watanzania wachache mnaoamini kwamba BI SAMIA SULUHU HASSAN Ana PhD?
Mana unaandika kama upo kwenye taarabu
 
Then ww na familia yako mtapata faida gani?
 
Bishop pamoja na nguvu zake fake za kiroho kashindwa kusoma alama za nyakati. Huyo tayari ameisha
 
Nenda kamkamate wewe kunguni unachelewa nini?

Wewe kidampa wa mama Abdul una hadhi gani ya kutoa arrest warrant?
20250529_075443.jpg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa namna askofu Gwajima alivyotoa ,kueneza na kusambaza Maneno ,kauli na matamshi yake kutoka kwenye kinywa chake. Ni ngumu sana kuachwa hivi hivi bila au pasipo kufunguliwa Mashitaka ya Uchochezi . Kwa sababu ametoa maneno na matamshi yenye kuleta uchonganishi na yenye kuchochea wananchi kuichukia serikali yao.

Ametoa maneno na kauli zenye kujenga chuki vifuani pa wananchi na hata kuweza kusababisha vurugu na machafuko , kutokana na kauli na meneno yake yenye kuonyesha na kuleta Taswira au picha ya kuhusisha matukio ya utekeji na kikundi ambacho kwa mdomo wake alisema kuwa kina ngtuvu na kupewa nguvu kutoka juu ambako hata wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wanaogopa kukigusa.

Lakini askofu Gwajima Ameleta maneno ya uchonganishi Mkubwa sana kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama na Mamlaka ya uteuzi. Jambo ambalo linaweza kuleta chuki na vinyongo kwa askari na wanajeshi wetu kutokana na maneno ya uzushi ,uongo na uchonganishi yaliyotolewa na askofu Gwajima. Kwa maslahi yake binafsi .

Hivyo anapaswa kukamatwa haraka ,kuhojiwa , kufikishwa mahakamani na kufunguliwa Mashitaka ya Uchochezi ili aweze kujibu. Hapaswi kufumbiwa macho aendelee kuligawa Taifa,kuleta uchonganishi, uchochezi,kujenga chuki na kusambaza uongo hapa Nchini.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nyie machawa endelea sio mda mtajua hamjui.
 
Mleta mada una akili finyu sana. Yaani mmeona namna ya kunalance ishu ya Lissu ni kutengeneza picha nyingine kama hiyo Ili ku counterplay la Lissu. Na kwamba sasa wote watatakiwa kuwekwa sana rumande huku wa kwenu akiwa kule kimkakati na kula raha zote hadi November wakati kwa Lissu yeye tayari atakuwa amepata loss maana uchaguzi utakuwa umepita.

Huu nao ni mkakati wa kitoto sana, wapelekeni wengine hata 20 ila ishu ya Lissu ni unique na ni public interest kuliko vikaragosi wote mnaoplan kuwaingiza kwenye drama hiyo😭😭😭
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa namna askofu Gwajima alivyotoa ,kueneza na kusambaza Maneno ,kauli na matamshi yake kutoka kwenye kinywa chake. Ni ngumu sana kuachwa hivi hivi bila au pasipo kufunguliwa Mashitaka ya Uchochezi . Kwa sababu ametoa maneno na matamshi yenye kuleta uchonganishi na yenye kuchochea wananchi kuichukia serikali yao.

Ametoa maneno na kauli zenye kujenga chuki vifuani pa wananchi na hata kuweza kusababisha vurugu na machafuko , kutokana na kauli na meneno yake yenye kuonyesha na kuleta Taswira au picha ya kuhusisha matukio ya utekeji na kikundi ambacho kwa mdomo wake alisema kuwa kina ngtuvu na kupewa nguvu kutoka juu ambako hata wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wanaogopa kukigusa.

Lakini askofu Gwajima Ameleta maneno ya uchonganishi Mkubwa sana kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama na Mamlaka ya uteuzi. Jambo ambalo linaweza kuleta chuki na vinyongo kwa askari na wanajeshi wetu kutokana na maneno ya uzushi ,uongo na uchonganishi yaliyotolewa na askofu Gwajima. Kwa maslahi yake binafsi .

Hivyo anapaswa kukamatwa haraka ,kuhojiwa , kufikishwa mahakamani na kufunguliwa Mashitaka ya Uchochezi ili aweze kujibu. Hapaswi kufumbiwa macho aendelee kuligawa Taifa,kuleta uchonganishi, uchochezi,kujenga chuki na kusambaza uongo hapa Nchini.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Luka katika ubora wake akibubujikwa pumba!
 
Stupid
 
Mtakamata wote hata Luca,Choice,Tlatlah &co. Wote wanatakiwa kuwa jela kwa uchochezi
 
Back
Top Bottom