Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Wewe ni kati ya watanzania wachache mnaoamini kwamba BI SAMIA SULUHU HASSAN Ana PhD?Ndugu zangu Watanzania,
Kwa namna askofu Gwajima alivyotoa ,kueneza na kusambaza Maneno ,kauli na matamshi yake kutoka kwenye kinywa chake. Ni ngumu sana kuachwa hivi hivi bila au pasipo kufunguliwa Mashitaka ya Uchochezi . Kwa sababu ametoa maneno na matamshi yenye kuleta uchonganishi na yenye kuchochea wananchi kuichukia serikali yao.
Ametoa maneno na kauli zenye kujenga chuki vifuani pa wananchi na hata kuweza kusababisha vurugu na machafuko , kutokana na kauli na meneno yake yenye kuonyesha na kuleta Taswira au picha ya kuhusisha matukio ya utekeji na kikundi ambacho kwa mdomo wake alisema kuwa kina ngtuvu na kupewa nguvu kutoka juu ambako hata wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wanaogopa kukigusa.
Lakini askofu Gwajima Ameleta maneno ya uchonganishi Mkubwa sana kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama na Mamlaka ya uteuzi. Jambo ambalo linaweza kuleta chuki na vinyongo kwa askari na wanajeshi wetu kutokana na maneno ya uzushi ,uongo na uchonganishi yaliyotolewa na askofu Gwajima. Kwa maslahi yake binafsi .
Hivyo anapaswa kukamatwa haraka ,kuhojiwa , kufikishwa mahakamani na kufunguliwa Mashitaka ya Uchochezi ili aweze kujibu. Hapaswi kufumbiwa macho aendelee kuligawa Taifa,kuleta uchonganishi, uchochezi,kujenga chuki na kusambaza uongo hapa Nchini.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sheria lazima ifuatweCCM kumfungulia mtu mashitaka ni kupoteza muda.
si ni bora wafanye wanachofanya siku zote, wamteke wampoteze.
Sheria ipi unayojua wewe kanjanja ?Sheria lazima ifuatwe
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa namna askofu Gwajima alivyotoa ,kueneza na kusambaza Maneno ,kauli na matamshi yake kutoka kwenye kinywa chake. Ni ngumu sana kuachwa hivi hivi bila au pasipo kufunguliwa Mashitaka ya Uchochezi . Kwa sababu ametoa maneno na matamshi yenye kuleta uchonganishi na yenye kuchochea wananchi kuichukia serikali yao.
Ametoa maneno na kauli zenye kujenga chuki vifuani pa wananchi na hata kuweza kusababisha vurugu na machafuko , kutokana na kauli na meneno yake yenye kuonyesha na kuleta Taswira au picha ya kuhusisha matukio ya utekeji na kikundi ambacho kwa mdomo wake alisema kuwa kina ngtuvu na kupewa nguvu kutoka juu ambako hata wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wanaogopa kukigusa.
Lakini askofu Gwajima Ameleta maneno ya uchonganishi Mkubwa sana kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama na Mamlaka ya uteuzi. Jambo ambalo linaweza kuleta chuki na vinyongo kwa askari na wanajeshi wetu kutokana na maneno ya uzushi ,uongo na uchonganishi yaliyotolewa na askofu Gwajima. Kwa maslahi yake binafsi .
Hivyo anapaswa kukamatwa haraka ,kuhojiwa , kufikishwa mahakamani na kufunguliwa Mashitaka ya Uchochezi ili aweze kujibu. Hapaswi kufumbiwa macho aendelee kuligawa Taifa,kuleta uchonganishi, uchochezi,kujenga chuki na kusambaza uongo hapa Nchini.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Bishop pamoja na nguvu zake fake za kiroho kashindwa kusoma alama za nyakati. Huyo tayari ameishaNdugu zangu Watanzania,

Yapigwe majizi na watekaji.Apigwe nduli Gwajimaaaa(tuitikie wote) apigweeeee!!!!
Nyie machawa endelea sio mda mtajua hamjui.Ndugu zangu Watanzania,

Luka katika ubora wake akibubujikwa pumba!Ndugu zangu Watanzania,

StupidNdugu zangu Watanzania,

Acha bangi wewe.Mbona wewe hapa unafanya uchochezi au hujioni ?
Naona Sasa Mkund umeamua kuufunza mdomo utamu wa CHAKULA.
Huna adabu wewe. Uchaguzi upo palepale na utafanyika kama ilivyopangwaMwaka huu mnalo dadeki. Hatuongozwi na ke sisi. No reform no election
Mtakamata wote hata Luca,Choice,Tlatlah &co. Wote wanatakiwa kuwa jela kwa uchocheziNdugu zangu Watanzania,
Kwa namna askofu Gwajima alivyotoa ,kueneza na kusambaza Maneno ,kauli na matamshi yake kutoka kwenye kinywa chake. Ni ngumu sana kuachwa hivi hivi bila au pasipo kufunguliwa Mashitaka ya Uchochezi . Kwa sababu ametoa maneno na matamshi yenye kuleta uchonganishi na yenye kuchochea wananchi kuichukia serikali yao.
Ametoa maneno na kauli zenye kujenga chuki vifuani pa wananchi na hata kuweza kusababisha vurugu na machafuko , kutokana na kauli na meneno yake yenye kuonyesha na kuleta Taswira au picha ya kuhusisha matukio ya utekeji na kikundi ambacho kwa mdomo wake alisema kuwa kina ngtuvu na kupewa nguvu kutoka juu ambako hata wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wanaogopa kukigusa.
Lakini askofu Gwajima Ameleta maneno ya uchonganishi Mkubwa sana kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama na Mamlaka ya uteuzi. Jambo ambalo linaweza kuleta chuki na vinyongo kwa askari na wanajeshi wetu kutokana na maneno ya uzushi ,uongo na uchonganishi yaliyotolewa na askofu Gwajima. Kwa maslahi yake binafsi .
Hivyo anapaswa kukamatwa haraka ,kuhojiwa , kufikishwa mahakamani na kufunguliwa Mashitaka ya Uchochezi ili aweze kujibu. Hapaswi kufumbiwa macho aendelee kuligawa Taifa,kuleta uchonganishi, uchochezi,kujenga chuki na kusambaza uongo hapa Nchini.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Anatetea tumbo lake.Naona kama Gwagima anatetea wanyonge, kosa like wapi?
No reform no election ❌Huna adabu wewe. Uchaguzi upo palepale na utafanyika kama ilivyopangwa