Hizi ni sababu za kwanini Askofu Gwajima anatakiwa kukamatwa na kufunguliwa mashitaka ya uchochezi

Akili yako ina utapiamlo.
 
sijawahi ona mtu anabubujika pumba namna hii!
 
Watu kama nyie ndio mnapaswa kuwa lupango kwakua washauri wajinga
 
Lucas Mwashambwa comrade Kawaida alitoa maoni mazuri sana kipindi fulani. Polisi walipaswa kuwa mstari wa mbele kutoa matokeo ya upelelezi kwa umma, ila bahati mbaya watekaji wanaenda kama polisi wakishaua polisi wanakana, huu ni udhaifu wa polisi na ni udhaifu wao kwenda tena kuzingira kanisa la Askofu Gwajima. In short we have incompetent watu kwenye nafasi.
 
Nenda K@f|rw£
 
Watanzania hatuna roho za kipumbavu kama wewe. Unatukosea kutuita ndugu zako.

Huna tofauti na kile kiungo cha chini kinachotoa taka mwili.

Damu ya mtu inathamani kuliko vyeo na pesa.
 
Najua haya wahusu lakini nimepigwa kibuti na muumini wa ufufuo!
 
Huyu jamaa nae Kila siku linaongea pumba.. kawaokoe raia wanaopigwa hapo kanisani
 
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 

Kosa lake nini? Hamtaweza kumkamatq kila mtu na kumfungulia uhaini.

Hapo ni kuweka petrol kwenye moto.wa kifuu. Was Waswahili wanasema majuto mjukuu.

Bahati mbaya tunadharau dalili kuwa mambo hayaendi sawa, badala ya kurekebisha.

Wanaopotea wanapotelea wapi? Nani wahusika?
 
Mwana CCM,mbunge wa kuchaguliwa,mwanakamati,! Sasa unatuletea sisi tufanyeje mkuu?!!!!
 
Mmh Kila mtu kukamata kisa kutofautiana mtazamo...
 
Kwa nini tusimkata huyu jamaa na makala zake humu Jf
 
Uchonganishi ni nini?
Hebu taja maneno ya uchonganishi aliyosema?
Ungetumia akili yako kdg kufikiri usingeandika hii kitu !
Ukweli siku hizi mnaita uchonganishi? Shame!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…