Yah!...ni kweli ata mie nampongeza nifah lakini mimi nilikuwa nafahamu wazi kuwa kiba hawezi fanya upuuzi kama waliofanya wasanii wenzake!
#EDWARDLOWASSA FOR PRESIDENCY-2015
safi sana. Waambie hao magwanda. Wanaumwa sana kwa kupigwa bao la kisigino.Magufuli ni kiongozi anayependwa na Watanzania wengi sana, mapenzi yao yametokana na uhodari na uchapakazi wake. Kutohudhuria kwa baadhi ya wasanii kumetokana na kupatwa na dharura za kifamilia na wala siyo kutokua na mapenzi na CCM. asingekua na mapenzi na CCM asingeweza kutunga wimbo wa kumsifia CCM na Magufuli bila kuambiwa na bila kulipwa senti hata moja.
Nami nakushauri uungane na kipenzi chako Ally Kiba kwenye harakati za kumpeleka ikulu mchapakazi wetu Rais Magufuli.
#hapa kazi tu
Magufuli ni kiongozi anayependwa na Watanzania wengi sana, mapenzi yao yametokana na uhodari na uchapakazi wake. Kutohudhuria kwa baadhi ya wasanii kumetokana na kupatwa na dharura za kifamilia na wala siyo kutokua na mapenzi na CCM. asingekua na mapenzi na CCM asingeweza kutunga wimbo wa kumsifia CCM na Magufuli bila kuambiwa na bila kulipwa senti hata moja.
Nami nakushauri uungane na kipenzi chako Ally Kiba kwenye harakati za kumpeleka ikulu mchapakazi wetu Rais Magufuli.
#hapa kazi tu
umeiwasilisha vzuri hoja yako, msanii anapaswa kuwa mfano mzuri, hasifungamane na upande mmoja ili kupima pande zote na kuamua yeye mwenyewe kwa busara bila kuilazimisha ama kuihakikishia hadhira yake kitu hasichokuwa na uhakika ama uelewa nacho kwa asilimia zote. Yeye wajibu wake ni kutoa maoni endelevu na kuweka pembeni ushabiki husio na tija, na kuonesha ukomavu wa kimaamuzi, asante.
Mnaumwa nyinyi. Kama juyo babu yenu.
Asante pia mkuu, umenena vyema.
Jamani, mpumzishe yule kaka.
Mpe hata like, maana roho inamtoka.
Katika maisha halisi atakuwa ana Gubu zaidi ya la wifi.
Nadhani ingeluwa ngumu kwa Balozi wa Wanyama kukaa meza moja na Muuaji wa Wanyama...!! Hilo tu.
BACK TANGANYIKA
Hahahaaaaa leo ujue hadi nashangaa? Najiuliza huyu mtu ana akili nzuri au?
Kweli watu hatufanani, leo nimeamini.
Hata hivyo ujue nimewaza, sio ajabu huyu ni kedrick.....niamini mimi maana yule nae ni maCCM kama domo wao.