Hizi ni Salamu za pongezi kwa Ali Kiba

Hizi ni Salamu za pongezi kwa Ali Kiba

Yah!...ni kweli ata mie nampongeza nifah lakini mimi nilikuwa nafahamu wazi kuwa kiba hawezi fanya upuuzi kama waliofanya wasanii wenzake!
#EDWARDLOWASSA FOR PRESIDENCY-2015

Kabisa mkuu. Taarifa nilizozipata ni kwamba amekataa milioni 120 za CCM akaenda zake kufanya show Kenya ya milioni 50!
Huu ni zaidi ya uzalendo.
Halafu kuna mapopoma yanasema eti hakufuatwa wala kuombwa kuhudhuria ule mkutano wa jana.
Nawaangalia tu.
 
Magufuli ni kiongozi anayependwa na Watanzania wengi sana, mapenzi yao yametokana na uhodari na uchapakazi wake. Kutohudhuria kwa baadhi ya wasanii kumetokana na kupatwa na dharura za kifamilia na wala siyo kutokua na mapenzi na CCM. asingekua na mapenzi na CCM asingeweza kutunga wimbo wa kumsifia CCM na Magufuli bila kuambiwa na bila kulipwa senti hata moja.

Nami nakushauri uungane na kipenzi chako Ally Kiba kwenye harakati za kumpeleka ikulu mchapakazi wetu Rais Magufuli.
#hapa kazi tu
safi sana. Waambie hao magwanda. Wanaumwa sana kwa kupigwa bao la kisigino.
 
Magufuli ni kiongozi anayependwa na Watanzania wengi sana, mapenzi yao yametokana na uhodari na uchapakazi wake. Kutohudhuria kwa baadhi ya wasanii kumetokana na kupatwa na dharura za kifamilia na wala siyo kutokua na mapenzi na CCM. asingekua na mapenzi na CCM asingeweza kutunga wimbo wa kumsifia CCM na Magufuli bila kuambiwa na bila kulipwa senti hata moja.

Nami nakushauri uungane na kipenzi chako Ally Kiba kwenye harakati za kumpeleka ikulu mchapakazi wetu Rais Magufuli.
#hapa kazi tu

Weka hapa huo wimbo aliomtungia Magufuli na CCM.
Wimbo pekee aliotunga Kiba ni kuhusu wanyama (ambao yeye ni balozi wa kupambana na ujangili).
 
Wameingiwa hofu kwa namna CCM ilivyojiandaa kuchukua tena nchi. Walipoona CCM Imekaa kimya walidhani tumeishiwa. Kumbe walisahau kuwa kimya kingi kina mshindo mkuu.
 
Na mwanzo wa kishindo ulikuwa jana. Mpaka babu yao kachanganyikiwa leo kaamua kwenda kwa daladala . Kaona LEXUS zake hazina mwendo.
 
umeiwasilisha vzuri hoja yako, msanii anapaswa kuwa mfano mzuri, hasifungamane na upande mmoja ili kupima pande zote na kuamua yeye mwenyewe kwa busara bila kuilazimisha ama kuihakikishia hadhira yake kitu hasichokuwa na uhakika ama uelewa nacho kwa asilimia zote. Yeye wajibu wake ni kutoa maoni endelevu na kuweka pembeni ushabiki husio na tija, na kuonesha ukomavu wa kimaamuzi, asante.
 
Eti anawasikikiza wananchi. Alipokuwa anaiingiza xhi kwenye mikataba ya kuwatesa wananchi hakujua kuwa kuna watanzania??
 
Na la ziada ni kuwa utaratibu wa kiongozi kuzungumza na wananchi moja kwa moja ulianzishwa na JAKAYA KIKWETE. Ipo mifano mingi maeneo mbalimbali. Halipingiki hilo. Kikwete amehudhuria misiba ya raia wake ilhali ni Rais kuliko hilo babu lenu ambalo lilikuwa likitumia muda wake kutafuta urais. Maji yamemfika shingoni ndo anakumbuka shuka. Hali ya kuwa kumeshakuchwa.
 
umeiwasilisha vzuri hoja yako, msanii anapaswa kuwa mfano mzuri, hasifungamane na upande mmoja ili kupima pande zote na kuamua yeye mwenyewe kwa busara bila kuilazimisha ama kuihakikishia hadhira yake kitu hasichokuwa na uhakika ama uelewa nacho kwa asilimia zote. Yeye wajibu wake ni kutoa maoni endelevu na kuweka pembeni ushabiki husio na tija, na kuonesha ukomavu wa kimaamuzi, asante.

Asante pia mkuu, umenena vyema.
 
Jamani, mpumzishe yule kaka.
Mpe hata like, maana roho inamtoka.
Katika maisha halisi atakuwa ana Gubu zaidi ya la wifi.

Hahahaaaaa leo ujue hadi nashangaa? Najiuliza huyu mtu ana akili nzuri au?
Kweli watu hatufanani, leo nimeamini.
Hata hivyo ujue nimewaza, sio ajabu huyu ni kedrick.....niamini mimi maana yule nae ni maCCM kama domo wao.
 
Last edited by a moderator:
Nadhani ingeluwa ngumu kwa Balozi wa Wanyama kukaa meza moja na Muuaji wa Wanyama...!! Hilo tu.

BACK TANGANYIKA

Hivi kweli eeh? Kiba ana sababu kibao za kuukacha ule mkutano.
Ila huyu mtu mtata jamani? Kakataa mil. 120?Hatari sana.
Nimemheshimu kuliko tukuka.
 
Hahahaaaaa leo ujue hadi nashangaa? Najiuliza huyu mtu ana akili nzuri au?
Kweli watu hatufanani, leo nimeamini.
Hata hivyo ujue nimewaza, sio ajabu huyu ni kedrick.....niamini mimi maana yule nae ni maCCM kama domo wao.

Hapana, yule jirani yangu hana maneno mengi kaah
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa leo ujue hadi nashangaa? Najiuliza huyu mtu ana akili nzuri au?
Kweli watu hatufanani, leo nimeamini.
Hata hivyo ujue nimewaza, sio ajabu huyu ni kedrick.....niamini mimi maana yule nae ni maCCM kama domo wao.

nifah,

Pesa ina-limit ktk maamuzi ya Binadamu, Kuna vishombo kunuka, vimejulia pesa vingali vitoto kila kitu vinathamanisha kwa pesa..!! Na ndiomaana unakuta vinajisifu mara-ooooooo nililipwa Ml 100 sijui ili nitumbuize..!! Fantazzzz!! Kwamba ukilipwa Billion ili utumbuize uchi huku umesimamisha kinyonga chako uko tayari.!! Ally Kiba nimempenda sana kwakutotokea kwenye Fiesta ile, Kuna baadhi ya vitu haviwezi kununuliwa na Pesa, Kimoja wapo ni Misingi. Ally kajijengea misingi ambayo kamwe haiwezi kuvunjwa kwa Nguvu ya Pesa.!! Hilo tu, linamwongezea Credibility kubwa ktk jamii.

Na ile jana mimi nimejitoa rasmi kwenye kushabikia timu ya yanga... Unajua kwanini... Nimefika pale jangwani nikipitanjia kuelekea Kariakoo, Nikakuta jengo la Yanga limepambwa na Mapicha na Mabango ya ccm, Na vile jengo hilo limepakwa mirangi ya njano na kijani basi ikaonekana Booonge la Suti na kila mmoja angeambiwa hilo ni jengo la ccm asingeshangaa!!

Upumbavu wa namna hii hawatuokoti watu wenye akili zetu.

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa leo ujue hadi nashangaa? Najiuliza huyu mtu ana akili nzuri au?
Kweli watu hatufanani, leo nimeamini.
Hata hivyo ujue nimewaza, sio ajabu huyu ni kedrick.....niamini mimi maana yule nae ni maCCM kama domo wao.

Haaah huyu sio mie me na siasa ni vitu viwili tofauti
 
Last edited by a moderator:
Alikiba mbona show nyingine za ccm pia kikwete kahudhuria sana mi naona ni walewale tuu labda nimsifu kaweza kuendana na upepo japo mleta uzi hujuui ilikuwaje mpaka hakuwepo
 
Back
Top Bottom