Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
- Thread starter
- #301
Yah!...ni kweli ata mie nampongeza nifah lakini mimi nilikuwa nafahamu wazi kuwa kiba hawezi fanya upuuzi kama waliofanya wasanii wenzake!
#EDWARDLOWASSA FOR PRESIDENCY-2015
Kabisa mkuu. Taarifa nilizozipata ni kwamba amekataa milioni 120 za CCM akaenda zake kufanya show Kenya ya milioni 50!
Huu ni zaidi ya uzalendo.
Halafu kuna mapopoma yanasema eti hakufuatwa wala kuombwa kuhudhuria ule mkutano wa jana.
Nawaangalia tu.