Mleta mada ni ile type ya watu kufuatilia maisha ya wengineKuna kitu kinaitwa AMANI ni dawa tosha kwa binadam kama mtu anafanya vitu na vinamfanya awe na Amani basi acha Afanye sidhan kama kuna kitu kimekuathir wewe hapo tunayaita maisha yake binafsi
Mitandao ya kijamii,Simu,UtandawaziGen Z wengi siku hizi hawatoki nje si wakike wala wakiume sijajua tatizo ni nini?
We ni mdada?
Huyo kwenye kioo mbona kama msemaji wa Yanga wa zamani.
Huyo kwenye kioo mbona kama msemaji wa Yanga wa zamani.
Sioni vizuri ngoja nitafute mawani
Wakiweka za wanaume wanaoishi pekeyao nistue!